Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kupinga ya Kiprotestanti

wakakatazwa kuisoma. Mapadri na waaskofu wakatafsiri mafundisho yake kwa kuendesha

madai yao. Kwa hiyo Papa akajulikana pote kama msaidizi wa Mungu ulimwenguni.

Namna Sabato Ilivyogeuzwa

Unabii ulitangaza kwamba Kanisa la Kiroma “litafikiri kugeuza nyakati na sheria”.

Danieli 7:25. Kwa kutoa badala kwa ibada ya sanamu, ibada ya masura sanamu na masalio

kumbukumbu, jambo hilo likaingizwa kidogo kidogo katika ibada ya Kikristo. Agizo la

baraza la kawaida (Tazama mwisho wa kitabu (Nyongezo)) mwishowe likaanzisha ibada hii

ya sanamu. Roma ikasubutu kufutia mbali amri ya pili ya sheria ya Mungu, inayokataza ibada

ya sanamu, na kugawanya amri ya kumi ili kulinda hesabu.

Waongozi wasiotakaswa wa kanisa wakageuza amri ya ine vile vile, kwa kutangua Sabato

ya zamani, siku ambayo Mungu alibariki na kutakasa (Mwanzo 2:2,3) na mahali pake

wakatukuza siku kuu iliyolazimishwa na wapagani kama “siku tukufu ya jua”. Katika karne

za kwanza Sabato ya kweli ilishikwa na Wakristo wote, lakini Shetani akatumika kwa kuleta

kusudi lake. Siku ya jua (siku ya kwanza) (Dimanche) ikafanywa kuwa siku kuu kwa ajili ya

ufufuko wa Kristo. Huduma za dini zilifanyika kwa siku hiyo, lakini ilizaniwa kama siku ya

pumziko, Sabato ikaendelea kushikwa na utakatifu.

Shetani akaongoza Wayahudi, kabla ya kuja kwa Kristo mara ya kwanza, kulemeza Sabato

kwa lazimisho makali, kuifanya kuwa mzigo. Sasa, kwa kutumia nuru ya uongo ambamo

alilete sabato kutazamiwa, akaitupia zarau kama sheria ya “Wayahudi”. Wakati Wakristo kwa

kawaida waliendelea kushika siku ya kwanza (Dimanche) kama siku kuu ya shangwe,

akawaongoza kufanya Sabato kuwa siku ya huzuni na giza ili kuonyesha machukio kwa

Kiyahudi.

Mfalme Constantini akatoa amri kufanya Siku ya kwanza (Dimanche) siku kuu ya watu

wote popote katika ufalme wa Roma (Tazama Mwisho wa Kitabu ama Nyongezo). Siku ya

jua ilikuwa ikitukuzwa na watu wake wapagani na kuheshimiwa na Wakristo. Alilazimishwa

kufanya hivi na maaskofu wa kanisa. Walipoongozwa na hamu ya mamlaka, waliona ya kuwa

kama siku hiyo moja ilishikwa kwa wote ni kusema Wakristo na wapagani, ingeendelesha

uwezo na utukufu wa kanisa. Lakini wakati Wakristo wengi wenye kumcha Mungu

walipoongozwa kuzania Siku ya kwanza (Dimanche) kama yenye kuwa na cheo cha utakatifu,

waliendelea kushika Sabato ya kweli na kuitukuza katika utiifu wa amri ya ine.

Mdanganyi mkuu hakutimiza kazi yake. Alikusudia kutumia uwezo wake kwa njia ya

mjumbe wake, askofu mwenye kiburi anayejidai kuwa mjumbe wa Kristo. Mabaraza

makubwa yalifanywa ambamo wakuu walikusanyika kutoka pote duniani. Karibu kila baraza

Sabato iligandamizwa chini kidogo, wakati siku ya kwanza (Dimanche) ikatukuzwa. Kwa

hiyo siku kuu ya wapagani mwishowe ikatukuzwa kama sheria ya Mungu, lakini sabato ya

Biblia ikatangazwa kuwa kumbukumbu ya dini ya Kiyahudi na kawaida zake zikatangazwa

kuwa za laana.

17