12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kuchanganya uwongo na ukweli shauri laonekana kuwa njema. Waongozi wa mwendo wa

siku ya kwanza (dimanche) wangeshindania matengenezo ambayo watu wanahitaji, kanuni

katika umoja pamoja na Biblia; lakini wakati ambao kunakuwa na madai pamoja na hizi

kinyume kwa sheria za Mungu, watumishi wake hawawewzi kujiunga pamoja nao. Hakuna

kitu kinachoweza kuthibitika kuweka kando amri za Mungu kwa ajili ya amri za watu.

Katika makosa mawili makubwa, kutokufa kwa nafsi na utakatifu wa siku ya kwanza

(dimanche), Shetani ataleta watu chini ya madanganyo yake. Wakati kosa la kwanza

linapowekwa msingi wa imani ya kuwa roho za watu waliokufa hurudi na kujionyesha na

kuongea na watu (spiritualisma), kosa la mwisho hufanya kifungo cha huruma pamoja na

Roma. Waprotestanti wa Umoja wa Mataifa ya Kiamerika watakuwa wa kwanza kunyoosha

mikono yao ngambo ya shimo kubwa kushika mkono wa imani ya kuwa roho za watu

walikufa hurudi na kujionyesha na kuongea na watu (Spiritualisme); wakifikia kwa shimo

kubwa kukumbatia mikono na mamlaka ya Roma. Na chini ya mvuto wa umoja huu wa mara

tatu, inchi hii itafuata katika hatua za Roma kwa kukanyanga haki za zamiri.

Kwa namna imani ya kuwa roho za watu waliokufa hurudi na kujionyesha na kuongea na

watu (spiritualisme) , inakuwa na uwezo mkubwa kwa kudanganya. Shetani yeye mwenyewe

“hujigeuza”. Ataonekana kama malaika wa nuru. Kwa njia ya imani ya kuwa roho za watu

waliokufa hurudi na kujionyesha na kuongea na watu, miujiza itafanyika, wangonjwa

wataponyeshwa, na maajabu mengi yasiyokukanishwa yatafanyika.

Wafuasi wa kanisa la kiroma wanaojisifu juu ya miujiza kuwa alama ya kanisa la kweli

watadanganyika upesi kwa uwezo huu wa kufanya miujiza; na Waprotestanti, wanapokwisha

kutupia mbali ngao ya ukweli, watadanganyika vile vile. Wafuasi wa kanisa la Roma,

Waprotestanti, na watu wapendao anasa za dunia wataonekana vivyo hivyo katika umoja huu

mabadiliko makubwa kwa ajili ya toba ya ulimwengu.

Kwa njia ya imani ya kuwa roho za watu waliokufa hurudi na kujionyesha na kuongea na

watu (spiritualisme), Shetani hutokea kama mtenda mema wa kabila, kuponyesha magonjwa

na kuonyesha kawaida mpya ya imani ya dini, lakini wakati ule ule anaongoza wengi kwa

maangamizi. Kukosa kiasi kunaondoa akili; mapendeleo ya anasa, vita, na kumwanga damu

hufuata. Vita huamsha tamaa mbaya sana ya nafsi na kufutia kwa milele mateka wake

walioloanishwa katika uovu na damu. Nikusudi la Shetani kuchochea mataifa kwa vita, kwani

anaweza kupotosha watu kwa matayarisho ya kusimama kwa siku ile ya Mungu.

Shetani amejifunza siri za maumbile, na anatumia uwezo wake wote kutawala mwanzo

kadiri Mungu anavyoruhusu. Ni Mungu anayelinda viumbe vyake kutoka kwa mharibu.

Lakini jamii ya Ukristo limeonyesha zarau kwa sheria yake, na Bwana atafanya kile

alichotangaza ya kwamba-angeondoa ukingaji wa ulinzi wake kwa wale wanaoasi kwa sheria

yake na kukaza wengine kufanya pamoja. Shetani anakuwa na utawala wa wote ambao

Mungu asio walinda kwa kipekee. Atasaidia na kusitawisha wengine, ili kuzidisha makusudi

239

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!