12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

kando pamoja na ya ine. Watoto hawangekataa kukamata maisha ya wazazi wao kama kwa

kufanya vile wangeweza kupata tamaa ya mioyo yao iliyoharibika. Ulimwengu uliostaarabika

ungekuwa kundi la wezi na wauaji wa siri, na amani na furaha ingekomeshwa duniani.

Tayari mafundisho haya yamefungua milango ya uovu ulimwenguni. Bila sheria na uovu

vinafiagia kama pepo kali ya kipwa. Hata katika nyumba za wale wanaojidai kuwa Wakristo

kunakuwa unafiki, mvunjo wa urafiki, usaliti wa matumaini matakatifu, upendeleo wa tamaa

mbaya. Kanuni za dini, msingi wa maisha ya ushirika, unaonekana wa kutikisika sana karibu

kuanguka. Wavunja sheria waovu mara kwa mara wanafanywa kuwa wenye kupokea mambo

ya uangalifu kama kwamba walifikia sifa nzuri. Matangazo makubwa yametolewa kwa

makosa yao. Mtambo wa kupiga chapa unatangaza maelezo ya uasi wa uovu, kuingiza

wengine katika madanganyo, wizi, na uuaji. Kupumbazuka kwa kosa, kukosa kuwa na kiasi

kwa kutisha na uzalimu wa namna yo yote ulipasa kuamsha mambo yote. Ni kitu gani

kinaweza kufanyika kuzuia mwendo wa uovu?

Kukosa Kiasi Kumetia Wengi Katika Mashaka

Baraza za hukumu zimeharibika, watawala wamevutwa na tamaa kwa faida na upendo wa

anasa za mambo ya uasherati. Kukosa kiasi kumetia wengi katika mashaka hivyo Shetani

amekuwa na utawala karibu kamili juu yao. Wana sheria wamapotoshwa, wanavutwa kwa

feza (rushwa), wamedanganyika. Ulevi na ulafi, udanganyifu wa kila namna, unaonekana

miongoni mwa wale wanaosimamia sheria. Sasa Shetani hawezi tena kulinda ulimwengu

chini ya utawala kwa njia ya kuzuia Maandiko, anatumia njia zingine kwa kutimiza kusudi

lile lile moja. Kwa kuharibu imani katika Biblia ni kutumia pia kuharibu Biblia yenyewe.

Ni kama katika miaka ya kwanza, alikuwa akitumika katika makanisa kuendelesha

mashauri yake. Kwa kupinga mambo ya ukweli yasiyokuwa ya watu wengi katika Maandiko,

wanatumia maelezo ambayo yanapenda kueneza mbegu za mashaka. Kushikama na kwa kosa

la Papa la maisha ya milele ya asili na ufahamu wa mtu katika mauti, wanakataa ulinzi wa

kipekee juu ya madanganyo ya elimu ya kuwa roho za watu waliokufa kurudi na kujionyesha

na kuongea na watu (spiritualisme). Mafundisho wa maumivu mabaya ya milele yameongoza

wengi kuwa kutoamini Biblia. Kwa madai ya amri ya ine yanavyoshurutisha, inaoonekana ya

kuwa kushika Sabato ya siku ya saba kunaamriwa; na kwa namna inavyokuwa njia moja tu

kwa kujiokoa wenyewe kwa shuguli ambayo hawataki kuifanya, waalimu wa watu wote

wakatupilia mbali sheria ya Mungu na Sabato pamoja. Kama matengenezo ya Sabato

inavyoenea, kukataa huku kwa sheria ya Mungu kwa kuepuka amri ya ine kutakuwa karibu

kuenea pote. Waongozi wa dini wanafungua mlango kwa kumkana Mungu, kwa imani ya

kuwa roho za watu waliokufa kurudi na kujionyesha na kuongea na watu (spiritualisme), na

zarau kwa sheria takatifu ya Mungu-daraka la kutisha kwa uovu unaokuwako katika jamii la

Kikristo.

Kwani jamii lilelile linalodai ya kama mkazo wa kushika siku ya kwanza (dimanche)

kungesitawisha mafundisho yahali ya kijamii. Ni mojawapo ya mashauri ya Shetani

238

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!