12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

wote wakumbuke ya kwamba siku ya saba ilitakaswa na Mungu, na ilikubaliwa na kushikwa,

si kwa Wayuda tu, lakini na kwa wengine wote wanaodai kuabudu Mungu; ingawa sisi

Wakristo tumebadilisha Sabato yao kwa Siku ya Bwana.”4 Wale waliokuwa wakiharibu

sheria ya Mungu walikuwa wanajua tabia ya kazi yao.

Mufano wa kushangaza wa mipango ya Roma ulitolewa katika mateso marefu ya mauaji

juu ya Waldenses (Vaudois), wengine wao walikuwa washika Sabato. (Tazama Nyongezo.)

Historia ya makanisa ya Ethiopia na Abyssinia ni ya maana ya kipekee. Katikati ya huzuni ya

Miaka ya Giza, Wakristo wa Afrika ya Kati walifichama kwa uso wa dunia na wakasahauliwa

na ulimwengu na kwa karne nyingi wakafurahia uhuru katika imani yao. Mwishoni Roma

ikajifunza juu ya maisha yao, na mfalme wa Abyssinia akadanganywa hata akakubali Papa

kama mjumbe mkubwa wa Kristo. Amri ikatolewa kukataza kushikwa kwa Sabato chini ya

malipizi makaii1] Lakini uonevu wa Papa (kanisa la Roma) kwa upesi ukawa nira ya kutia

uchungu sana ambayo watu wa Abyssinia wakakusudia kuivunja. Wakuu wa Roma

wakafukuziwa mbali kwa mamlaka yao na imani ya zamani ikarudishwa.

Wakati makanisa ya Afrika yalipokuwa yakishika Sabato katika utii kwa amri za Mungu,

wakaepuka na kufanya kazi siku ya kwanza (dimanche) kwa kufuatana na desturi ya kanisa.

Roma ikavunja Sabato ya Mungu kwa kujiinua mwenyewe, lakini makanisa ya Afrika,

yakajificha karibu miaka elfu moja, hayakushirikiana kwa uasi huu. Walipoletwa chini ya

Roma, wakalazimishwa kuweka pembeni kweli na kutukuza sabato ya uwongo. Lakini kwa

upesi walipopata tena uhuru wao wakarudia kutii amri ya ine. (Tazama Nyongezo).

Mambo haya yanaonyesha wazi uadui wa Roma kwa ajili ya Sabato ya kweli na

wasimamizi wake. Neno la Mungu linafundisha ya kwamba mambo haya yanapashwa

kutendeka tena kwa namna kukaririwa kama vile Wakatoliki na Waprotestanti wanajiunga

kwa kutukuza siku ya kwanza (dimanche).

Mnyama wa Pembe Mbili Mfano wa Mwana-Kondoo

Unabii wa Ufunuo 13 unatangaza ya kwamba mnyama wa pembe mbili mfano wa mwanakondoo

atafanya “dunia na wanaokaa ndani yake” kuabudu kanisa la Rome--lililofananishwa

na mnyama “alikuwa mfano wa chui. “Mnyama wa pembe mbili itasema vilevile “wale

wanaokaa juu ya dunia, kufanyia sanamu yule mnyama”. Tena, naye anawafanya wote,

“wadogo na wakubwa, na matajiri na maskini na wahuru na wafungwa,” wapokee chapa cha

mnyama. Ufunuo 13:11-16. Amerika ni uwezo uliofananishwa na nyama yule wa pembe

mbili mfano wa mwana-kondoo. Unabii huu utatimilika wakati Mwungano wa mataifa ya

Amerika watakapokaza kushika siku ya kwanza (dimanche), ambayo Roma inadai kama

hakikisho kwa mamlaka yake.

“Nikaona kimoja cha vichwa vyake, kama kimetiwa kidonda cha kufa; kidonda chake cha

kufa kikapona; dunia yote ikastaajabia mnyama yule”. Ufunio 13:3. Kidonda cha kufa

kinaonyesha kuanguka kwa kanisa la Roma (Papa) katika mwaka 1798. Baada ya hii, asema

234

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!