12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

la Wakristo. Mpango wa kwanza wa kulazimisha watu wote kushika Siku ya kwanza ya juma

ilikuwa sheria iliyotolewa na Constantine. Ingawa ilikuwa kweli sheria ya kipagani, ilikazwa

na mfalme akiisha kukubali dini ya Kikristo.

Eusebius, kama askofu aliyetafuta upendeleo wa watawala, na aliyekuwa rafiki wa

kipekee wa Constantine, akaendesha matangazo ya kwamba Kristo alihamisha Sabato na

kuiweka kwa siku ya kwanza (dimanche). Hakuna ushuhuda wa Maandiko uliotolewa kuwa

uhakikisho. Eusebius yeye mwenyewe, bila kuwa na hakikisho akatangaza uwongo wake.

“Vitu vyote,” anasema, “Kila kitu kilichokuwa kazi ya kufanya kwa Sabato, hivi

tumevihamisha kwa siku ya Bwana”. 2

Kwa namna Kanisa la Roma lilipoimarishwa, kutukuzwa kwa Siku ya Kwanza

kukaendelea. Kwa wakati mfupi siku ya saba iliendelea kushikwa kama Sabato, lakini

baadaye badiliko likafanyika. Baadaye Papa akatoa maagizo ya kwamba padri wa wilaya

alipaswa kukaripia wanaoharibu siku ya kwanza (dimanche) wasilete msiba mkubwa juu yao

wenyewe na kwa jirani.

Amri za baraza zilizo hakikisha upungufu, wakubwa wa serkali wakaombwa sana kutoa

amri ambayo ingeogopesha mioyo ya watu na kuwalazimisha kuacha kazi kwa siku ya

kwanza (dimanche). Kwa mkutano wa wakubwa wa kanisa uliofanywa Roma, mipango yote

ya mbele ikahakikishwa tena na kuingizwa katika sheria ya kanisa na kukazwa na wakubwa

wa serikali1]

Lakini ukosefu wa mamlaka ya maandiko kwa ajili ya kushika siku ya kwanza (dimanche)

ukaleta mashaka. Watu wakauliza haki ya waalimu wao kwa ajili ya kutia pembeni tangazo

hili, “Siku ya saba ni Sabato kwa Bwana Mungu wako,” ili kuheshimu siku ya jua. Kwa

kusaidia ukosefu wa ushuhuda wa Biblia, mashauri mengine yalikuwa ya lazima.

Musimamizi wa nguvu wa siku ya kwanza (dimanche), ambaye karibu mwisho wa karne

ya kumi na mbili alizuru makanisa ya Uingereza, akapingwa na washuhuda waaminifu kwa

ajili ya kweli; na kwa hivi nguvu yake ilikuwa ya bure hata akatoka kwa inchi wakati moja.

Wakati aliporudi, akaleta mkunjo waonyesho ambayo alidai kutoka kwa Mungu mwenyewe,

iliyokuwa na agizo la kulazimisha watu kushika siku ya kwanza (dimanche), pamoja na

matisho ya ajabu kuogopesha wasiotii. Maandiko haya ya damani yalisemwa wala kutajwa

kuwa ya kuanguka kutoka mbinguni na kupatikana pale Yerusalema juu ya mazabahu ya

Simeona Mtakatifu, katika Golgotha. Lakini, kwa kweli yaliandikwa katika jumba kubwa la

askofu kule Roma. Madanganyo na maandiko ya uwongo yalikuwa katika miaka yote

yakihesabiwa ya kweli kwa watawala wa kanisa la Roma. (Tazama kwa Mwisho wa Kitabu

(Nyongezo), hati kwa ukarasa 37.)

Lakini ijapo walifanya nguvu kwa kuanzisha utakatifu wa Siku ya kwanza (dimanche)

wakuu wa kanisa la Roma wao wenyewe kwa wazi wakatubu kwamba sabato inatoka kwa

mamlaka ya Mungu. Katika karne ya kumi na sita baraza la Papa ikatangaza: “Acha Wakristo

233

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!