Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti Kanisa la Roma ni kama vile unabii ulivyotangaza kwamba lingekuwa, ni kukufuru kwa nyakati za mwisho. Tazama 2 Watesalonika 2 :3,4. Chini ya mfano wa kigeugeu linaficha sumu isiyobadilika ya nyoka. Je, uwezo huu, ambao ukumbusho wake kwa miaka elfu umeandikwa katika damu ya watakatifu, utakubaliwa kama sehemu ya kanisa la Kristo? Badiliko katika Kanisa la Protestanti Madai yamewekwa katika inchi za Kiprotestanti ya kwamba Dini ya Kikatoliki inakuwa tofauti kidogo kwa Dini ya Kiprotestanti kuliko nyakati za zamani. Hapo kumekuwa badiliko; lakini badiliko haliko katika kanisa la Roma. Kanisa la Katoliki linafanana sana na Kanisa la Kiprotestanti linalokuwa sasa kwa sababu Kanisa la Kiprotestanti kiliharibika tabia sana tangu siku za Watengenezaji (Reformateurs). Makanisa ya Kiprotestanti, kutafuta mapendeleo ya ulimwen-gu, yanaamini kila kitu kibaya kuwa kizuri, na kama matokeo wataamini mwishoni kila kitu kizuri kuwa kibaya. Wanakuwa sasa, kama ilivyokuwa, kujitetea kwa Roma kwa ajili ya mawazo yao isiyokuwa na mapendo kwake, kuomba musamaha kwa “ushupavu” wao. Wengi wanasihi sana ya kwamba giza ya kiakili na yakiroho iliyokuwa pote wakati wa Miaka ya Katikati ilisaidia Roma kueneza mambo ya uchawi na mateso, na ya kwamba akili kubwa zaidi ya nyakati za sasa na kuongezeka kwa wema katika mambo ya dini kunakataza mwamsho wa kutovumilia. Watu wanacheka sana wazo la kwamba mambo ya namna ile yanaweza kutokea kwa nyakati za nuru. Inapaswa kukumbukwa lakini ya kwamba kwa namna nuru inapotolewa zaidi, na zaidi giza ya wale wanaopotea na kuikataa itakuwa kubwa. Siku ya giza kubwa ya walio elimishwa imesaidia kwa mafanikio ya kanisa la Roma (Papa). Siku ya nuru kubwa ya walioelimishwa nayo itasaidia vile vile. Katika miaka iliyopita wakati watu walipokuwa pasipo maarifa ya ukweli, maelfu walikamatwa kwa mtego, bila kuona wavu uliotandikwa kwa nyanyo zao. Katika kizazi hiki wengi hawatambui wavu na wanatembea ndani yake mara moja bila kufikiri. Wakati watu wanapotukuza mafundisho yao wenyewe juu ya Neno la Mungu, akili inaweza kutimiza maumivu makubwa kuliko ujinga. Kwa hivyo elimu ya uwongo ya wakati huu utahakikisha mafanikio ya kutayarisha njia kwa kukubali kanisa la Roma (Papa), kama kukataa kwa maarifa kulivyofanya katika Miaka ya Giza. Kushika Siku ya Kwanza (Jumapili) Kushika siku ya kwanza (jumapili) ni desturi ilioanzishwa na Roma, ambayo anadai kuwa alama ya mamlaka yake. Roho ya Kanisa la Roma (Papa)--ya mapatano kwa desturi za kidunia, heshima kwa desturi za kibinadamu juu ya amri za Mungu--inaenea sehemu zote za makanisa ya Waprotestanti na kuwaongoza kwa kazi ya namna moja ya kutukuza Siku ya kwanza (Jumapili) ambayo kanisa la Roma limeigeuza mbele yao. Sheria za kifalme, baraza za kawaida na maagizo ya kanisa zilizokubaliwa na mamlaka ya kidunia zilikuwa ni hatua ambazo siku kuu za kishenzi zilifikia cheo cha heshima katika dunia 232

Kupinga ya Kiprotestanti la Wakristo. Mpango wa kwanza wa kulazimisha watu wote kushika Siku ya kwanza ya juma ilikuwa sheria iliyotolewa na Constantine. Ingawa ilikuwa kweli sheria ya kipagani, ilikazwa na mfalme akiisha kukubali dini ya Kikristo. Eusebius, kama askofu aliyetafuta upendeleo wa watawala, na aliyekuwa rafiki wa kipekee wa Constantine, akaendesha matangazo ya kwamba Kristo alihamisha Sabato na kuiweka kwa siku ya kwanza (dimanche). Hakuna ushuhuda wa Maandiko uliotolewa kuwa uhakikisho. Eusebius yeye mwenyewe, bila kuwa na hakikisho akatangaza uwongo wake. “Vitu vyote,” anasema, “Kila kitu kilichokuwa kazi ya kufanya kwa Sabato, hivi tumevihamisha kwa siku ya Bwana”. 2 Kwa namna Kanisa la Roma lilipoimarishwa, kutukuzwa kwa Siku ya Kwanza kukaendelea. Kwa wakati mfupi siku ya saba iliendelea kushikwa kama Sabato, lakini baadaye badiliko likafanyika. Baadaye Papa akatoa maagizo ya kwamba padri wa wilaya alipaswa kukaripia wanaoharibu siku ya kwanza (dimanche) wasilete msiba mkubwa juu yao wenyewe na kwa jirani. Amri za baraza zilizo hakikisha upungufu, wakubwa wa serkali wakaombwa sana kutoa amri ambayo ingeogopesha mioyo ya watu na kuwalazimisha kuacha kazi kwa siku ya kwanza (dimanche). Kwa mkutano wa wakubwa wa kanisa uliofanywa Roma, mipango yote ya mbele ikahakikishwa tena na kuingizwa katika sheria ya kanisa na kukazwa na wakubwa wa serikali1] Lakini ukosefu wa mamlaka ya maandiko kwa ajili ya kushika siku ya kwanza (dimanche) ukaleta mashaka. Watu wakauliza haki ya waalimu wao kwa ajili ya kutia pembeni tangazo hili, “Siku ya saba ni Sabato kwa Bwana Mungu wako,” ili kuheshimu siku ya jua. Kwa kusaidia ukosefu wa ushuhuda wa Biblia, mashauri mengine yalikuwa ya lazima. Musimamizi wa nguvu wa siku ya kwanza (dimanche), ambaye karibu mwisho wa karne ya kumi na mbili alizuru makanisa ya Uingereza, akapingwa na washuhuda waaminifu kwa ajili ya kweli; na kwa hivi nguvu yake ilikuwa ya bure hata akatoka kwa inchi wakati moja. Wakati aliporudi, akaleta mkunjo waonyesho ambayo alidai kutoka kwa Mungu mwenyewe, iliyokuwa na agizo la kulazimisha watu kushika siku ya kwanza (dimanche), pamoja na matisho ya ajabu kuogopesha wasiotii. Maandiko haya ya damani yalisemwa wala kutajwa kuwa ya kuanguka kutoka mbinguni na kupatikana pale Yerusalema juu ya mazabahu ya Simeona Mtakatifu, katika Golgotha. Lakini, kwa kweli yaliandikwa katika jumba kubwa la askofu kule Roma. Madanganyo na maandiko ya uwongo yalikuwa katika miaka yote yakihesabiwa ya kweli kwa watawala wa kanisa la Roma. (Tazama kwa Mwisho wa Kitabu (Nyongezo), hati kwa ukarasa 37.) Lakini ijapo walifanya nguvu kwa kuanzisha utakatifu wa Siku ya kwanza (dimanche) wakuu wa kanisa la Roma wao wenyewe kwa wazi wakatubu kwamba sabato inatoka kwa mamlaka ya Mungu. Katika karne ya kumi na sita baraza la Papa ikatangaza: “Acha Wakristo 233

Kupinga ya Kiprotestanti

Kanisa la Roma ni kama vile unabii ulivyotangaza kwamba lingekuwa, ni kukufuru kwa

nyakati za mwisho. Tazama 2 Watesalonika 2 :3,4. Chini ya mfano wa kigeugeu linaficha

sumu isiyobadilika ya nyoka. Je, uwezo huu, ambao ukumbusho wake kwa miaka elfu

umeandikwa katika damu ya watakatifu, utakubaliwa kama sehemu ya kanisa la Kristo?

Badiliko katika Kanisa la Protestanti

Madai yamewekwa katika inchi za Kiprotestanti ya kwamba Dini ya Kikatoliki inakuwa

tofauti kidogo kwa Dini ya Kiprotestanti kuliko nyakati za zamani. Hapo kumekuwa badiliko;

lakini badiliko haliko katika kanisa la Roma. Kanisa la Katoliki linafanana sana na Kanisa la

Kiprotestanti linalokuwa sasa kwa sababu Kanisa la Kiprotestanti kiliharibika tabia sana tangu

siku za Watengenezaji (Reformateurs).

Makanisa ya Kiprotestanti, kutafuta mapendeleo ya ulimwen-gu, yanaamini kila kitu

kibaya kuwa kizuri, na kama matokeo wataamini mwishoni kila kitu kizuri kuwa kibaya.

Wanakuwa sasa, kama ilivyokuwa, kujitetea kwa Roma kwa ajili ya mawazo yao isiyokuwa

na mapendo kwake, kuomba musamaha kwa “ushupavu” wao. Wengi wanasihi sana ya

kwamba giza ya kiakili na yakiroho iliyokuwa pote wakati wa Miaka ya Katikati ilisaidia

Roma kueneza mambo ya uchawi na mateso, na ya kwamba akili kubwa zaidi ya nyakati za

sasa na kuongezeka kwa wema katika mambo ya dini kunakataza mwamsho wa kutovumilia.

Watu wanacheka sana wazo la kwamba mambo ya namna ile yanaweza kutokea kwa nyakati

za nuru. Inapaswa kukumbukwa lakini ya kwamba kwa namna nuru inapotolewa zaidi, na

zaidi giza ya wale wanaopotea na kuikataa itakuwa kubwa.

Siku ya giza kubwa ya walio elimishwa imesaidia kwa mafanikio ya kanisa la Roma

(Papa). Siku ya nuru kubwa ya walioelimishwa nayo itasaidia vile vile. Katika miaka iliyopita

wakati watu walipokuwa pasipo maarifa ya ukweli, maelfu walikamatwa kwa mtego, bila

kuona wavu uliotandikwa kwa nyanyo zao. Katika kizazi hiki wengi hawatambui wavu na

wanatembea ndani yake mara moja bila kufikiri. Wakati watu wanapotukuza mafundisho yao

wenyewe juu ya Neno la Mungu, akili inaweza kutimiza maumivu makubwa kuliko ujinga.

Kwa hivyo elimu ya uwongo ya wakati huu utahakikisha mafanikio ya kutayarisha njia kwa

kukubali kanisa la Roma (Papa), kama kukataa kwa maarifa kulivyofanya katika Miaka ya

Giza.

Kushika Siku ya Kwanza (Jumapili)

Kushika siku ya kwanza (jumapili) ni desturi ilioanzishwa na Roma, ambayo anadai kuwa

alama ya mamlaka yake. Roho ya Kanisa la Roma (Papa)--ya mapatano kwa desturi za

kidunia, heshima kwa desturi za kibinadamu juu ya amri za Mungu--inaenea sehemu zote za

makanisa ya Waprotestanti na kuwaongoza kwa kazi ya namna moja ya kutukuza Siku ya

kwanza (Jumapili) ambayo kanisa la Roma limeigeuza mbele yao.

Sheria za kifalme, baraza za kawaida na maagizo ya kanisa zilizokubaliwa na mamlaka ya

kidunia zilikuwa ni hatua ambazo siku kuu za kishenzi zilifikia cheo cha heshima katika dunia

232

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!