12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wanaweka misalaba kwa makanisa yao, mazabahu yao, na mavazi yao. Po pote alama ya

msalaba kwa inje inaheshimiwa na kutukuzwa. Lakini mafundisho ya Kristo yanazikwa chini

ya desturi za uongo na malipizi makali. Roho aminifu zinalindwa katika woga wa hasira ya

Mungu aliyechukizwa, wakati wakuu wa kanisa wengi wanaishi katika anasa na tamaa ya

mwili.

Ni juhudi ya daima ya Shetani kusingizia tabia ya Mungu, asili ya zambi, na matokeo

kwenye mti wa kuchoma wafia dini katika vita kuu. Madanganyo yake yanatoa watu ruhusa

kwa zambi. Kwa wakati ule ule anaanzisha mawazo ya uwongo juu ya Mungu ili

wamwangalie kwa hofo na chuki kuliko kwa upendo. Kwa njia ya mawazo yaliyopotoshwa

juu ya tabia za Mungu, mataifa ya kishenzi waliongozwa kuamini kafara za kibinadamu kuwa

za lazima kwakupata mapendo ya Mungu. Mambo makali ya kuogopesha yametendwa chini

ya mifano mbalimbali ya ibada ya sanamu.

Umoja wa Upagani na Ukristo

Kanisa la Katoliki la Roma, kwa kuunganisha upagani na Ukristo, na, kama upagani,

kusingizia tabia ya Mungu, lilitumia basi matendo makali. Vyombo vya mateso vilishurutisha

watu kukubali mafundisho yake. Wakuu wa kanisa wakajifunza kuvumbua njia za kufanyiza

mateso makubwa iwezekanavyo bila kuondoa maisha ya wale wasingekubali madai yake.

Kwa mara nyingi yule aliyeteswa alipokea mauti kuwa kufunguliwa kuzuri.

Kwa wafuasi wa Roma kanisa lilikuwa na malezi ya shida, njaa, ya mateso ya mwili. Kwa

kupata kibali cha Mungu, wenye kutubu walifundishwa kupasua vifungo ambavyo Mungu

alivifanya kwa kubariki na kufurahisha maisha ya mwanadamu duniani. Uwanja wa kanisa

unakuwa na mamilioni ya watu waliotoa maisha yao kwa masumbuko ya bure, kwa

kukomesha, kama machukizo kwa Mungu, kila wazo na nia ya huruma kwa viumbe wenzao.

Mungu hakuweka kamwe mojawapo ya mizigo hii mzito juu watu wo wote. Kristo

hakutoa mfano kwa wanaume na wanawake kujifungia wenyewe katika nyumba ya watawa

(monasteres) ili kuweza kustahili kuingia mbinguni. Hakufundisha kamwe ya kwamba

mapendo yanapashwa kukomeshwa.

Papa anadai kuwa mjumbe mkubwa wa Kristo. Lakini je, Kristo alijulikana daima kutupa

watu kwa gereza kwa sababu hawakumtolea heshima kubwa kama Mfalme wa mbingu? Je,

sauti yake ilisikiwa kuhukumu kwa mauti wale wasiomkubali?

Kanisa la Roma sasa linaonyesha uso mzuri kwa ulimwengu, kufunika kwa maneno ya

kujitetea ukumbusho wake wa maovu ya kuchukiza. Limejivika lenyewe mavazi ya mfano

wa Kikristo, lakini linakuwa lisilobadilika. Kanuni yo yote ya dini ya Roma katika vizazi vya

wakati uliopita inakuwako leo. Mafundisho yaliyoshauriwa kwa miaka ya giza yangali

yanashikwa. Dini ya Roma ambayo Waprotestanti wanaheshimu sasa ni ileile iliyotawala

katika siku za Matengenezo (Reformation), wakati watu wa Mungu waliposimama kwa hatari

ya maisha yao kufunua zambi lake.

231

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!