12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wakati msingi wa kanisa la Roma linaimarishwa juu ya madanganyo, si la ushenzi na

ujiinga. Huduma ya dini ya Kanisa la Roma kawaida ni ya kuvuta sana. Maonyesho yake

mazuri sana mengi na kanuni kubwa za dini zinavuta watu na kunyamazisha sauti ya akili na

zamiri. Jicho linavutwa kwa uzuri. Makanisa mazuri kabisa, maandamano makubwa ya ajabu,

mazabahu ya zahabu, sanduku za kuwekea vitu vitakatifu za johari, mapicha mazuri, na

muchoro bora vinavuta wenye kupenda uzuri. Muziki ni waajabu. Nukta za muziki nzuri za

kutoka kwa sauti kubwa za kinanda zinachanganyika na nyimbo tamu sana za sauti nyingi

kama inavyoongeza katika madari ya nyumba ya juu sana na sehemu ndefu ya nguzo ya

majengo makubwa ya kanisa yake, yanavuta akili ya uchai na heshima.

Utukufu huu wa inje na ibada vinacheka tamaa za nafsi yenye kugonjwa ya zambi. Dini

ya Kristo haihitaji mivuto ya namna hiyo. Nuru inayongaa kutoka kwa msalaba inaonekana

safi na ya kupendeza na hakuna mapambo ya inje yanayoweza kuongeza damani yake ya

kweli. Mawazo ya juu ya ufundi, malezi ya kupendeza tamaa, mara kwa mara yanatumiwa na

Shetani kuongoza watu kusahau mahitaji ya nafsi na kuishi kwa ajili ya ulimwengu huu tu.

Fahari na sherehe ya kuabudu kwa Kikatoliki kunakuwa na uwezo wa kuvuta (kushawishi)

kufanya mabaya, nzuri wakupoteza akili, na hiyo, wengi wamedanganyika. Wanajipatia

uhakikisho juu ya Kanisa la Roma kuwa mlango wa mbinguni. Hakuna hata mmoja ila tu

wale wanaoweka miguu yao kwa msingi wa kweli, ambao mioyo yao hufanywa upya kwa

Roho ya Mungu, wanakuwa salama juu ya mvuto wake. Mfano wa utawa pasipo uwezo ni

kitu kile wengi wanatamani.

Madai ya Kanisa kwa haki kwa ya kusamehe zambi yanaongoza wafuasi wa Roma

kujisikia huru kwa zambi, na agizo la maungamo linaelekea vile vile kutoa ruhusa kwa uovu.

Yeye anayepiga magoti mbele ya mtu aliyeanguka na anafungua katika maungamo mawazo

ya siri ya moyo wake anapoteza cheo cha nafsi yake. Katika kufunua zambi za maisha yake

kwa padri--mwenye kufa wa kosa-cheo cha tabia yake ni chini, na anakuwa mchafu kwa hiyo.

Mawazo yake juu ya Mungu ni ya kushusha cheo katika mfano wa mwanadamu aliyeanguka,

kwa sababu kuhani anasimama kama mjumbe wa Mungu. Ungamo hili la haya la mtu kwa

mtu ni chemchemi ya siri ambamo kumebubujika uwingi wa uovu unaochafua ulimwengu.

Kwani kwa yeye anayependa anasa, ni kupendeza zaidi kuungama kwa mtu wa mauti kuliko

kufungua roho kwa Mungu. Ni jambo la kupendeza zaidi kwa kiumbe mwanadamu kutubu

kuliko kuacha zambi; ni rahisi kuhuzunisha wala kutesa mwili kwa nguo ya gunia kuliko

kusulubisha tamaa za mwili.

Mfano Wa Kushangaza

Wakati walipozarau kwa siri kuja kwa mara ya kwanza kwa Kristo juu ya sheria ya

Mungu, walikuwa wa kali kwa inje katika kushika amri zake, kuzilemeza kwa masharti

yanayofanya utii kuwa mzito. Kama vile Wayuda walivyojidai kuheshimu sheria, vivyo hivyo

watu wa kanisa la Roma wanajidai kwa heshima ya msalaba.

230

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!