12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 35. Uhuru wa Zamiri Unatishwa

Kanisa la Roma sasa linapendelewa sana na Waprotestanti kuliko miaka ya zamani. Katika

inchi hizo ambamo Kanisa la Kikatoliki linapata mwendo wa kuunganisha kwa kupata mvuto,

mawazo yanaanza kusimamiwa ya kwamba hakuna tofauti sana juu ya mambo ya lazima

kama ilivyozaniwa na ya kwamba ukubali ule mdogo kwa upande wetu utatuongoza katika

mapatano bora pamoja na Roma. Kulikuwa wakati Waprotestanti walifundisha watoto wao

ya kwamba kutafuta umoja na Roma kungekuwa kutokuwa na uaminifu kwa Mungu. Lakini

ni tofauti kubwa ya namna gani tunaona katika taarifa ya sasa!

Watetezi wa dini ya Rome (Papa) wanatangaza kwamba kanisa limeshitakiwa uwongo, ya

kwamba si haki kuhukumu kanisa la leo kwa utawala wake wa mda wa karne nyingi za ujinga

na giza. Wanarehemu ukali wake wakuogopesha kwa ushenzi wa nyakati zile.

Je, watu hawa hawakusahau madai ya kutoweza kukosa kulikowekwa na uwezo huu?

Roma inadai ya kwamba “kanisa halikukosa kamwe; wala kukosa kwa wakati ujao, kufuatana

na Maandiko, halitakosa daima.”

Kanisa la Roma halitaacha kamwe madai yake kwa kutoweza kukosa (infallibilité). Acha

vizuizi (amri) vilivyoamriwa sasa na serikali za dunia vitoshwe na Roma irudishwe katika

mamlaka yake ya kwanza, na hapo kwa upesi ingekuwa uamsho wa uonevu wake na mateso.

Ni kweli ya kwamba Wakristo wa kweli wanakuwako katika ushirika wa kanisa la

Kikatoliki la Roma. Maelfu katika kanisa lile wanamtumikia Mungu kufuatana na nuru bora

wanayokuwa nayo. Mungu anatazama na upendo wa huruma juu ya nafsi hizi, zilizolelewa

katika imani ile ya kudanganya na isiyotosheleka. Ataleta mishale ya nuru kupenya giza, na

wengi watakamata misimamo yao pamoja na watu wake.

Lakini Kanisa la Roma kama chama haliko tena katika umoja na habari njema ya Kristo

sasa kuliko kwa wakati wa kwanza. Kanisa la Roma linatumia shauri lo lote kwa kupata

utawala wa ulimwengu, kuanzisha tena mateso, na kuharibu mambo yote ambayo

Waprotestanti wamefanya. Kanisa la Kikatoliki liko linapata nafasi kwa pande zote. Angalia

kuongezeka kwa makanisa yake. Tazama uwingi wa vyuo vyao vikubwa (colleges) na

seminaires, vinavyosimamiwa na Waprotestanti. Tazama usitawi wa utaratibu wa sala katika

Uingereza na maasi ya mara kwa mara kwa vyuo vya Wakatoliki.

Mapatano na Ukubali

Waprotestanti wamesaidia ama kupendelea mafundisho ya Kanisa la Papa; wamefanya

mapatano na mkubaliano ambayo wakatoliki wenyewe wameshangaa kuyaona. Watu

wanafunga macho yao kwa tabia ya kamili ya Kanisa la Roma. Watu wanahitaji kupinga

maendeleo ya adui huyu wa hatari kwa uhuru wa watu na dini.

229

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!