12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

mutakuwa kama Mungu mukijua uzuri na ubaya.” Mwanzo 3:4,5. Kipeo chake cha

madanganyo kitafikia katika mabaki ya mwisho ya wakati. Asema nabii: “Nikaona pepo

wachafu watatu waliofanana na vyura, wakatoka kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha

yule nabii wa uwongo kama vyura. Maana ndio pepo za mashetani, wanaofanya alama, na

kutoka na kwenda kwa wafalme wa ulimwengu wote, kuwakusanya kwa vita ya siku ile

kubwa ya Mungu Mwenyezi.” Ufunuo 16:13, 14.

Ila tu wale wanaolindwa na uwezo wa Mungu katika imani katika Neno lake, ulimwengu

mzima utapita kwa nguvu katika njia za madanganyo haya. Watu wanajitumbukiza upesi kwa

salama ya ajali, kuamshwa tu na kumiminika kwa hasira ya Mungu.

228

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!