12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

4:1618. Katika kuja kwa Bwana, minyororo ya kaburi itavunjika na “wafu katika Kristo”

watafufuliwa kwa uzima wa milele.

Wote watahukumiwa kwa kupatana na mambo yaliyoandikwa katika vitabu na kulipwa

kama vile matendo yao yalivyokuwa. Hukumu hii haitafanyika katika mauti. “Kwa maana

ameweka siku, atakayohukumu dunia kwa haki.” “Angalia, Bwana alikuja na watakatifu

wake, elfu kumi, ili afanye hukumu juu ya watu wote.” Matendo 17:31; Yuda 15.

Lakini kama wafu wamekwisha kufurahishwa na mbingu ao kujinyonga katika ndimi za

moto ya jehanum, ni haja gani ya hukumu ijayo? Neno la Mungu linaweza kufahamika katika

mafikara ya kawaida. Lakini ni fikara gani la haki tunaweza kuona wala hekima ao haki katika

maelezo inayokubaliwa na wengi? Je, wenye haki watapokea sifa, “Verna, mutumwa mwema

na mwaminifu, ... ingia katika furaha ya bwana wako,” wakati walikuwa wakikaa machoni

pake kwa miaka mingi? Je, waovu wameitwa kutoka taabuni kupokea hukumu kutoka kwa

Mwamzi, “Ondokeni kwangu, ninyi muliolaaniwa, endeni katika moto wa milele”? Matayo

25:21,41.

Maelezo juu ya maisha ya milele ya nafsi ya roho yalikuwa mojawapo ya mafundisho ya

uwongo ambayo Roma ilipokea kutoka kwa ushenzi. Luther aliyapanga pamoja na hadisi

kubwa (za uwongo) vinavyofanya sehemu ya mtu wa uchafu ya maagizo ya Roma. Biblia

inafundisha ya kwamba wafu wanalala hata ufufuo.

Pumziko la heri kwa wenye haki waliochoka! Wakati ukiwa mrefu ao mfupi, lakini ni

wakati kwao. Wanalala; wanaamshwa kwa baragumu ya Mungu kwa maisha ya milele ya

utukufu. “Kwa sababu baragumu italia, na wafu watafufuliwa wasiwe na kuoza. ... Lakini

wakati ule wa kuoza utakapovaa kutokuoza, na ule wa mauti utakapovaa kutokufa, wakati ule

litakapotimia neno lililoandikwa; Mauti imemezwa kwa ushindi”. 1 Wakorinto 15:52-54.

Kuitwa kutoka kwa usingizi wao, wanaanza kufikiri ni wapi waliishia. Shituko la mwisho

lilikuwa ni maumivu makali ya mauti; wazo la mwisho, kwamba walikuwa wakianguka chini

ya uwezo wa kaburi. Wanapofufuka kutoka kaburini, wazo lao la kwanza la furaha,

litakaririwa katika shangwe la ushindi: Ee mauti, uchungu wako ni wapi?” 1 Wakorinto 15:55.

“Ee kaburi, kushinda kwako ni wapi?

223

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!