12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wenye haki huwekwa katika tanuru ya taabu ili wao wenyewe wapate kutakaswa, ili

mfano wao upate kuvuta wengine kwa haki ya imani na wema, na kwamba mwenendo wa

uaminifu wao upate kuhukumu waovu na wasioamini. Mungu huruhusu waovu kusitawi na

kufunua uadui wao juu yake ili wote wapate kuona haki yake na rehema zake katika uharibifu

wao kabisa. Kiia tendo la ukali juu ya waaminifu wa Mungu litaazibiwa kama kwamba

lilitendewa Kristo mwenyewe.

Paulo anasema kwamba “wote wanaotaka kuishi maisha ya utawa katika Kristo watapata

mateso”. 2 Timoteo 3:12. Sababu gani, basi, kwamba mateso huonekana yamesinzia? Sababu

moja tu kwamba kanisa lilijiweka kwa kawaida ya kidunia na kwa hivyo haliamushi tena

upinzani. Dini katika siku zetu si safi kama imani takatifu ya Kristo na mitume wake. Kwa

sababu mambo ya kweli ya Neno la Mungu yanazaniwa kwa ubaridi, kwa sababu kunakuwa

utawa kidogo sana katika kanisa, Ukristo unapendwa na watu wote. Acha imani ya kanisa la

kwanza ifufuke, na mioto ya mateso itawashwa tena.

15

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!