12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Lakini wale wanaokuwa na mashaka na kutotumaini hakikisho (assurance) la neema yake

wanapatisha haya Kristo. Wanakuwa miti isiyozaa inayozuia nuru ya jua kwa mimea mingine,

kuiletea kufifia na kufa chini ya baridi ya kivuli. Kazi ya maisha ya watu hawa itatokea kama

ushuhuda usiokoma juu yao.

Kunakuwa lakini sababu moja tu ya kufuata kwa wale ambao kwa uaminifu wanatamani

kuwa huru kwa kutokuwa na mashaka. Badala ya kuuliza yale wasiyofahamu, waachwe watoe

ukubali kwa nuru ambayo imekwisha kuangaza juu yao, na watapata nuru kubwa zaidi.

Shetani anaweza kuonyesha mfano karibu sana kufanana na kweli ule unaodanganya wale

wanaotaka kudanganyiwa, wanaotamani kuepuka kafara iliyohitajiwa katika kweli. Lakini ni

kitu kisichowezekana kwake kushika chini ya uwezo wake nafsi moja inayotaka kwa

uaminifu, kwa bei yo yote, kujua ukweli. Kristo ndiye kweli, “Nuru ya kweli inayotia nuru

kila mtu anayekuja katika ulimwengu.” “Kila mtu akipenda kufanya mapenzi yake, atajua

habari za yale mafundisho.” Yoane 1:9; 7:17.

Bwana anaruhusu watu wake kupata kwa majaribu makali ya kutesa, si kwa sababu

anapendezwa wala kufurahishwa katika taabu yao, bali kwa sababu jambo hili ni la lazima

kwa ushindi wao wa mwisho. Hakuweza, kwa uthabiti kwa utukufu wake mwenyewe,

kuwalinda kutoka kwa jaribu, kwa sababu kusudi la jaribu ni kuwatayarisha kupinga mivuto

yote ya uovu. Hata waovu wala mashetani hawawezi kufunga kuwako kwa Mungu kwa watu

wake kama wataungama na kuacha zambi zao na kudai ahadi zake. Kila jaribu, la wazi wala

la siri, linaweza kupingwa kwa kufanikiwa. “Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, lakini kwa

Roho yangu, Bwana wa majeshi anasema.” Zekaria 4:6.

“Naye ni nani atakayewaumiza ninyi, kama ninyi mkiwa wenye bidii katika maneno yale

yaliyo mema?” 1 Petro 3:13. Shetani anafahamu vizuri kwamba roho inayokuwa zaifu zaidi

inayokaa ndani ya Kristo inakuwa na nguvu zaidi kuliko mshindani kwa majeshi ya giza. Kwa

sababu hiyo anatafuta kufukuzia mbali waaskari wa msalaba kutoka kwa boma lao lenye

nguvu, huku anapolala akijificha, tayari kuangamiza wote wanaosubutu kwa udongo wake.

Ila tu katika kutegemea Mungu na utii kwa amri zake tunaweza kulindwa.

Hakuna mtu anayekuwa salama kwa siku moja ao saa moja pasipo kuomba. Omba Bwana

kwa ajili ya hekima kwa kufahamu Neno lake. Shetani ni mbingwa katika kutumia Maandiko,

kuweka mafasirio yake mwenyewe kwa mafungu ambayo anatumaini kutuletea kikwazo.

Inatupasa kujifunza kwa unyenyekevu wa moyo. Huku tunapopashwa mara kwa mara

kujilinda juu ya mashauri ya Shetani, inatupasa kuomba kwa imani siku zote; “Na usitulete

katika majaribu.” Matayo 6:13.

216

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!