12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wapungufu wa mafundisho ya kiroho yanayotolewa na moyo wa kujikana, kwa namna

vinavyoelezwa, kukubaliwa na kupokelewa kwa bidii kubwa. Shetani anakuwa tayari kutoa

kwa tamaa ya moyo, na anapokeza hila za udanganyifu badala pa Kweli. Ilikuwa kwa namna

hii ambayo dini ya Roma (papa) ilipata mamlaka yake kwa roho za watu. Na katika kukataa

kweli kwa sababu inahusikana na msalaba, Waprotestanti wanafuata njia ile ile. Wote

wanaojifunza manufaa na mashauri, ili wasiweze kuwa na tofauti na ulimwengu, wataachwa

kupata “uharibifu usiokawia” wakizania ni kweli. 2 Petro 2:1. Yeye anayetazama kwa

kuchukia udanganyifu moja atapokea mara hiyo mwingine. “Na kwa maneno haya Mungu

anawaletea nguvu ya upotevu, hata waamini uwongo: ili wahukumiwe wote wasioamini

kweli, lakini walifurahi katika uzalimu.” 2 Watesalonika 2:11,12.

Makosa ya Hatari

Miongoni mwa vyombo vya ushindi zaidi vya mdanganyi mkubwa ni maajabu ya uwongo

ya imani ya roho za watu waliokufa (spiritisme). Kwa namna watu wanavyokataa kweli

wanatekwa kwa udanganyifu.

Kosa lingine ni mafundisho yanayokana Umungu wa Kristo, kudai kwamba hakuwako

mbele ya kuja kwake kwa ulimwengu huu.

Maelezo haya yanakausha maneno ya Mwokozi wetu juu ya uhusiano wake na Baba na

kuwako kwake siku zote za mbele. Yanaharibu imani katika Biblia kama ufunuo kutoka kwa

Mungu. Kama watu wanakana ushuhuda wa Maandiko juu ya Umungu wa Kristo, ni bure

kubishana nao; hakuna mabishano, hakuna neno hata wazi la kuweza, kuwasadikisha; Hakuna

anayeshikilia kosa hili anayeweza kuwa na wazo la kweli la Kristo wala la mpango wa Mungu

kwa ajili ya ukombozi wa mtu.

Tena kosa lingine ni imani kwamba Shetani haishi kama kiumbe chenye nafsi, kwamba

jina linalotumiwa katika Maandiko ni kufananisha tu mawazo mabaya ya watu na tamaa.

Mafundisho kwamba kuja kwa mara ya pili kwa Kristo ni kuja kwake kwa kila mtu wakati

wa mauti ni uongo kwa kupotosha akili kusahau kwa kuja kwake mwenyewe katika mawingu

ya mbingu. Shetani basi amekuwa akisema, ‘’Tazama, yeye ni katika vyumba vya ndani”

(Tazama Matayo 24:23-26), na wengi wamepotea katika kukubali udanganyifu huu.

Tena watu wa maarifa wanadai kwamba hakuna jibu la kweli linaweza kuwako kwa

kuomba; hii ingekuwa uvunjaji wa sheria-mwujiza, na miujiza haiwezi kuwako. Ulimwengu,

wanasema, unatawaliwa katika sheria zisizobabilika, na Mungu Mwenyewe hafanye kitu

kinyume kwa sheria hizi. Kwa hivi wanafananinisha Mungu kama amelazimishwa katika

sheria zake mwenyewe--kana kwamba sheria za Mungu zingekataza uhuru wa Mungu.

Fundisho la namna hii linapinga ushuhuda wa maandiko.

Je, miujiza haikufanywa na Kristo na mitume wake? Mwokozi yule yule anapendezwa

basi kusikiliza maombi ya imani kama vile alivyotembea kwa wazi miongoni mwa watu. Hali

214

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!