12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kwa kusimamia mafundisho ya uwongo, wengine wanashikilia juu ya maneno ya

Maandiko wanayotenga kando kwa maneno mengine, kutumia maneno nusu ya fungu kama

kuhakikisha msimamo wao, huku sehemu iliyobaki inapoonyesha maana kuwa kinyume

kabisa. Kwa werevu wa nyoka wanajiingiza wenyewe nyuma ya maneno ya kutengwa

yaliyofasiriwa kufurahisha tamaa za mwili. Wengine wanashikilia juu ya sura na mifano,

wanayatafsiri kwa kupendeza mawazo yao, pamoja na heshima kidogo kwa ushuhuda wa

Maandiko kama mfasiri wake mwenyewe, halafu kuonyesha mambo ya upumbavu wao kama

mafundisho ya Biblia.

Biblia Yote ni Kiongozi

Wakati ambapo kujifunza kwa Maandiko kunapoauzwa pasipo roho ya maombi na

inayoweza kufundishwa, mafungu ya waziwazi kabisa yatakuwa ya kupotea maana yake ya

kweli. Biblia yote inapashwa kutolewa kwa watu kama vile inavyosomwa.

Mungu alitoa neno la haki la unabii; malaika na hata Yesu Mwenyewe alikuja kujulisha

kwa Danieli na Yoane vitu ambavyo “vilivyopashwa kuwa upesi.” Ufunuo 1:1. Mambo ya

maana inayohusu wokovu wetu hayakufunuliwa kwa namna ya kutatiza na kuongoza vibaya

mtafutaji mwaminifu wa kweli. Neno la Mungu ni wazi kwa wote wanaojifunza sana kwa

moyo wenye kuomba.

Kwa kilio, Ukarimu, watu ni vipofu kwa mashauri mpinzani. Anafaulu kuondosha Biblia

na kutumia mawazo mengi ya kibinadamu; sheria ya Mungu inawekwa pembeni; na makanisa

yanakuwa chini ya utumwa wa zambi yanapojitangaza kuwa huru.

Mungu ameruhusu garika ya nuru kumiminwa ulimwenguni kwa mvumbuzi ya elimu ya

ulimwengu wa vyumbe vyo (science). Lakini hata watu wa elimu zaidi, kama hawaongozwi

na Neno la Mungu, wanapotea katika kujaribu kuchunguza mahusiano ya maarifa (science)

na ufunuo.

Maarifa ya kibinadamu ni ya kipande na si kamili; kwa hiyo wengi hawawezi kupatanisha

maoni yao ya maarifa (science) pamoja na Maandiko. Wengi wanakubali tu maelezo kama

mambo ya ujuzi, na wanafikiri kwamba Neno la Mungu ni la kujaribiwa kwa “elimu

inayoitwa elimu kwa uwongo.” 1 Timoteo 6:20. Kwa sababu hawawezi kueleza Muumba na

kazi zake katika sheria za asili, historia ya Biblia inazaniwa kama isioweza kutumainiwau.

Wale wanaokuwa na mashaka juu ya Agano la Kale na Agano Jipya kwa mara nyingi

wanakwenda hatua mbali zaidi na kutosadiki kuwako kwa Mungu. Walipoachilia nanga yao,

wanagonga juu ya miamba ya kutokuwa waaminifu kwa Mungu.

Ni kazi kubwa ya uongo wa Shetani kudumisha watu kubahatisha kwa mambo ambayo

Mungu hakuyaulisha. Lusifero akawa bila kurizika kwa sababu siri zote za makusudi ya

Mungu hazikufunuliwa kwake, na akakataa maneno yale yaliyofunuliwa. Sasa anatafuta

kujaza watu kwa roho ya namna ileile na kuwaongoza pia kutojali amri wazi za Mungu.

213

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!