12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wakati Wakristo walipokubali kujiunga pamoja na wale waliogeuka kwa nusu tu kutoka

katika ushenzi, Shetani akashangilia. Ndipo akawatia moyo kutesa wale waliodumu kuwa

waaminifu kwa Mungu. Wakristo hawa wakufuru (waasi), walipoungana na wenzao nusu

wapagani wakaelekeza vita yao juu ya mambo ya kanuni (zaidi) ya mafundisho ya Kristo.

Ilitakiwa shindano kali sana kusimama imara juu ya madanganyo na machukizo

yaliyoingizwa kanisani. Biblia haikukubaliwa kuwa msingi wa imani. Mafundisho ya uhuru

wa dini yakaitwa uwongo, na watetezi wake wakaondolewa.

Baada ya mapigano marefu, waaminifu waliona kwamba mutengano ulikuwa wa lazima

kabisa. Hawakusubutu kuvumilia wakati mrefu zaidi makosa yaliyokuwa hatari kwa roho zao,

na kufanya mfano mbaya ungaliweza kuhatarisha imani ya watoto wao na watoto wa watoto

wao. Waliona kwamba amani ingepatikana kwa bei kali sana kwa kafara ya kanuni. Kama

umoja ungalifanyiwa tu kwa kuvunja ukweli, heri tofauti iwepo, na hata vita.

Wakristo wa kwanza walikuwa kweli watu wa kipekee. Wachache katika hesabu, bila

utajiri, cheo, wala majina ya heshima, walikuwa wakichukiwa na waovu, hata kama vile Abeli

alivyochukiwa na Kaini. Tazama Mwanzo 4:1-10. Tangu siku za Kristo hata sasa, wanafunzi

wake waaminifu wameamsha chuki na upinzani wa wale wanaopenda zambi.

Namna gani, basi, injili inaweza kuitwa habari ya amani? Malaika waliimba kwa uwanja

wa Betelehemu: “Utukufu kwa Mungu aliye juu, na salama duniani, katika watu

wanaomupendeza”. Luka 2:14. Kwa inje hapo kuna kinyume kati ya maneno ya unabii huu

na maneno ya Kristo: “Sikuja kuleta salama lakini upanga”. Matayo 10:34. Lakini

yanafahamika vizuri, maneno haya mawili yanapatana vizuri kabisa. Injili ni ujumbe wa

amani. Dini ya Kristo, ikikubaliwa na kutii, ingeeneza amani na furaha duniani pote. Ilikuwa

kazi ya Yesu kupatanisha watu kwa Mungu, na kwa mtu kwa mwenzake. Lakini ulimwengu

wote unakuwa katika utawala wa Shetani, adui mkali wa Kristo. Injili huonyesha kanuni za

maisha kuwa zinazokuwa kinyume cha tabia na mapenzi yao, nazo zinapinga injili yake.

Huchukia usafi unaofunua na kuhukumu zambi zao, na hutesa na kuangamiza wale

wanaotangaza haki na utakatifu. Ni kwa maana hii kwamba injili huitwa upanga. Tazama

Matayo 10:34.

Wengi wanaokuwa wazaifu katika imani wanakuwa tayari kuacha tumaini lao katika

Mungu kwa sababu anakubali watu waovu kusitawi, wakati watu wema na safi wanapoteseka

na uwezo wa ukali wao. Swali, namna gani, Mungu mwenye haki na rehema, ambaye uwezo

wake hauna mwisho, anaweza kukubali uzalimu na mateso ya namna hiyo? Mungu ametupa

ushuhuda wa kutosha wa upendo wake. Hatuwezi kuwa na mashaka juu ya wema wake kwani

hatuwezi kufahamu maongozi yake. Mwokozi alisema, “Kumbukeni neno nililowaambia

ninyi: Mtumwa si mkubwa kuliko Bwana yake. Kama walinitesa mimi, watawatesa ninyi vile

vile”. Yoane 15:20. Wale wanaoitwa kwa kuvumilia mateso na mauti ya wafia dini

wanapaswa kutembea kwa nyayo za Mwana mpendwa wa Mungu.

14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!