12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kapernaumu (Luka 4:33-36)--wote waliponyeshwa kwa Mwokozi. Karibu kila mfano, Kristo

akasema pepo mchafu kama kitu chenye akili, kumwagiza kutotesa mtu wake tena. Waabuduo

kule Kapernaumu “wote wakashangaa sana, wakasemezana wao wenyewe wakisema: Neno

gani hili; kwani kwa mamlaka na uwezo anaamuru pepo wachafu, nao wanatoka.” Luka 4:36.

Kwa ajili ya kupata uwezo wa ajabu, wengine wakakaribisha mvuto wa Shetani. Mambo

haya bila shaka hayakuwa na ugomvi pamoja na pepo wachafu. Kwa kundi hili kulikuwa wale

waliokuwa na pepo ya uaguzi--Simon Magus, Elima mchawi yule, na kijakazi mwenye pepo

aliyefuata Paulo na Sila kule Filipi. Tazama Matendo 8:9,18; 13:8; 16:16-18.

Hakuna wanaokuwa katika hatari kubwa kuliko wale wanaokana kuwako kwa Shetani na

malaika zake. Wengi wanajali mashauri yao wanapoona wao wenyewe kuwa wakifuata

hekima yao wenyewe. Kwa namna tunavyokaribia mwisho wa wakati, wakati Shetani

anapashwa kutumika kwa uwezo mkubwa kudanganya, anaeneza mahali pote imani kwamba

yeye hakuwako. Ni kanuni yake kujificha mwenyewe na namna yake ya kutumika.

Mwongo mkubwa anaogopa kwamba tutakuwa wenye kutambua mipango yake. Kwa

kuficha tabia yake ya kweli akajifanya mwenyewe aonyeshwe kama kitu cha kuchekelea ao

cha kuzarau. Anapendezwa kufafanishwa kama mwenye kuchekesha, mwenye msiba, nusu

mnyama na nusu mwanadamu. Anapendezwa kusikia jina lake linapotumiwa katika mchezo

na kicheko. Kwa sababu amejificha mwenyewe na akili kamili, swali linaulizwa sana popote:

“Je, kiumbe cha namna hii kinakuwako kweli?” Ni kwa sababu Shetani anaweza kwa upesi

kutawala mawazo ya wale wanaokuwa bila kufahamu mvuto wake kwamba Neno la Mungu

linafungua mbele yetu nguvu za siri yake, kwa hivi kutuweka kwa angalisho.

Tunaweza kupata kimbilio na wokovu katika uwezo mukubwa wa Mkombozi wetu.

Tunachunga vizuri sana nyumba zetu kwa mapingo na kufuli kulinda mali yetu na maisha

kwa watu waovu, lakini ni marahaba kufikiri juu ya malaika waovu kushindana na

mashambulio yake tunayokuwa nayo, katika nguvu zetu wenyewe, hakuna ulinzi. Kama

wakiruhusiwa, wanaweza kuvuta mioyo yetu, kutesa miili yetu, kuharibu mali yetu na maisha

yetu. Lakini wale wanaomfuata Kristo wanakuwa salama chini ya ulinzi wake. Malaika

wanaopita katika nguvu wanatumwa kuwalinda. Waovu hawawezi kuvunja ulinzi aliyoweka

Mungu kwa ajili ya watu wake.

Sura 32. Namna ya Kumshinda Shetani

Vita kuu kati ya Kristo na Shetani ni karibu kuisha, na mwovu huyo anazidisha mara mbili

juhudi zake kwa kuvunja kazi ya Kristo kwa ajili ya mtu. Kwa kushikilia watu katika giza na

ugumu wa moyo hata upatanishi wa Mwokozi umalizika ndiyo shabaha anayoitafuta

kutimiza. Wakati ubaridi unapokuwa mwingi ndani ya kanisa, Shetani hajali. Lakini wakati

roho zinapochunguza, “Nifanye nini nipate kuokolewa?” anakuwa pale kupiganisha uwezo

wake kupinga Kristo pia na kupinga mvuto wa Roho Mtakatifu.

211

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!