12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Pepo wachafu, kwa mwanzo waliumbwa pasipo zambi, walikuwa sawasawa kwa tabia,

uwezo, na utukufu pamoja na viumbe vitakatifu vile vinavyokuwa sasa wajumbe wa Mungu.

Lakini walipoanguka katika zambi, wanashiriki pamoja kwa kufezeresha Mungu na uharibifu

wa watu. Kwa kuungana pamoja na Shetani katika uasi, wanashirikiana katika vita kupigana

na mamlaka ya Mungu.

Historia ya Agano la Kale inataja kuwapo kwao, lakini kwa wakati Yesu alipokuwa

duniani pepo wachafu wakaonyesha uwezo wao kwa namna ya ajabu sana. Kristo alikuja kwa

ajili ya ukombozi wa mtu, na Shetani akakusudia kutawala ulimwengu. Akafanikiwa katika

kuimarisha ibada ya sanamu katika kila upande wa dunia isipokuwa Palestina. Kwa inchi ile

tu ambayo haikujitoa kamili kwa mshawishi, Yesu akakuja, kunyosha mikono yake ya

upendo, kualika wote kupata msamaha na amani kwake. Majeshi ya giza yakafahamu

kwamba kama kazi ya Kristo inapata ushindi, mamlaka yao ingekuwa karibu kumalizika.

Kwamba watu wamekuwa na pepo mbaya inasemwa wazi katika Agano Jipya. Kwa hivi

watu walioteswa si kwa sababu tu ya magonjwa ya kawaida; Kristo alifahamu kuwako kwa

chanzo cha magonjwa na nguvu ya pepo wachafu. Wenye pepo wachafu kule Gadara, wenye

wazimu wa hali mbaya, kujinyonga, kujitapa, kutosha povu, kukasirika, walikuwa wakijitesa

wao wenyewe na kuhatarisha wote waliopaswa kuwakaribia. Kutokwa kwao kwa damu,

kukabadili hali ya mwili na mawazo yenye kuhangaika yalionyesha ajabu ya kufurahisha sana

mfalme wa giza. Mumojawapo wa pepo wachafu wakutawala wanaoteswa akatangaza, “Jina

langu ni Legioni: maana: Jeshi.” Marko 5:9. Katika jeshi la Roma legioni ilikuwa ya kuanzia

watu elfu tatu hata elfu tano. Kwa agizo la Yesu pepo wachafu wakatoka kwa watu wao

waliokuwa wanatesa, kuwaacha wanapotulia, wenye akili, na wapole. Lakini pepo wachafu

wakarusha kundi la nguruwe katika bahari, na kwa wakaaji wa Gadara hasara kubwa ikazima

mibaraka Kristo aliyoitoa; mponya wa Mungu akalazimishwa kutoka. Tazama Matayo 8:22-

34. Kwa kulaumu hasara yao juu ya Yesu, Shetani akaamsha choyo cha woga kwa watu na

kuwakataza kusikiliza maneno yake.

Kristo akaruhusu pepo wachafu kuangamiza nguruwe kama laumu kwa Wayuda waliolea

wanyama najisi kwa ajili ya faida. Kama Kristo hakuzuia pepo wachafu, wangalitumbukiza

si nguruwe tu, bali wachungaji wao pia na wenye nguruwe ndani ya bahari.

Tena, jambo hili liliruhusiwa ili wanafunzi waweze kushuhudia uwezo mkali wa Shetani

juu ya wote wawili mtu na mnyama, ili wasiweze kudanganywa kwa mipango yake. Ilikuwa

vilevile mapenzi yake kwamba watu walipashwa kutazama uwezo wake kuvunja utumwa wa

Shetani na kufungua wafungwa wake. Ingawa Yesu Mwenyewe alitoka, watu waliookolewa

kwa ajabu sana wakaendelea kutangaza rehema ya Mkarimu wao.

Mifano mingine imeandikwa: Binti wamwanamuke wa Sirofoinike, aliyesumbuliwa vikali

kwa Shetani, ambaye Yesu alifukuza kwa neno lake (Marko 7:26-30); kijana aliyekuwa na

pepo ambayo mara kwa mara “kumtupa katika moto, na katika maji, amwangamize.” (Marko

9:17-27); mwenye pepo, aliyeteswa na pepo ya ibilisi mchafu aliyechafua Sabato tulivu kule

210

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!