12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 30. Uadui wa Shetani

“Na nitatia uadui katikati yako na mwanamuke, na katikati ya uzao wako na uzao wake;

ataponda kichwa chako, na wewe utaponda kisingino chake.” Mwanzo 3:15. Uadui huu si wa

tangu awali. Wakati mtu alipovunja sheria ya Mungu, hali yake ikawa mbaya, katika umoja

na Shetani. Malaika walioanguka na watu wabaya wakajiunga katika urafiki wa kutokuwa na

matumaini. Kama Mungu hakujitia kati, Shetani na mtu wangaliingia katika mapatano

kumpinga Mungu wa mbinguni, na jamaa lote la binadamu lingalijiunga katika upinzanii kwa

Mungu.

Wakati Shetani aliposikia kwamba uadui ulipashwa kuwa kati yake na mwanamuke, na

kati ya uzao wake na uzao wa mwanamuke, alijua kwamba kwa sababu yo yote mtu alipashwa

kuwa mtu asiyeweza kupinga uwezo wake.

Kristo alitia uadui ndani ya mtu kumpinga Shetani. Pasipo neema hii ya kugeuka na nguvu

inayomfanya mpya, mtu angaliendelea kuwa mtumishi tayari daima kufanya mapenzi ya

Shetani. Lakini kanuni mpya katika nafsi inaleta vita; uwezo ambao Kristo anatoa unawezesha

mtu kushindana na mkorofi mkuu. Kuchukia sana zambi badala ya kuipenda kunaonyesha

kanuni kabisa kutoka juu.

Uadui kati ya Kristo na Shetani ulionekana wazi namna dunia ilivyompokea Yesu. Usafi

na utakatifu wa Kristo uliamsha juu yake uchuki wa wasiomuogopa Mungu. Kujikana kwake

kulikuwa laumu la duhakikisho kwa wenye kiburi na wapenda anasa ya mwili. Shetani na

malaika wabaya wakaungana na watu wabaya kupinga ya Mshindi wa kweli. Uadui wa namna

moja unaonyeshwa kwa wafuasi wa Kristo. Ye yote anayesimama imara kwa jaribu ataamsha

hasira ya Shetani. Kristo na Shetani hawawezi kupatana. Na wote wanaotaka kuishi maisha

ya utawa katika Kristo Yesu watapata mateso.” 2 Timoteo 3:12.

Wajumbe wa Shetani wanatafuta kudanganya wafuasi wa Kristo na kuwavuta kwa utii

wao. Wanapotosha Maandiko kwa kutirniza kusudi lao. Roho iliyotia Kristo kwa mauti

inaamsha waovu kuharibu wafuasi wake. Yote hii inaonyeshwa mbele katika ule unabii wa

kwanza: “Na nitatia uadui katikati yako na mwanamuke, na katikati ya uzao wako na uzao

wake.”

Sababu gani Shetani hakutani na ushindani mkubwa? Kwa sababu askari za Kristo

wanakuwa na uhusiano mdogo sana pamoja na Kristo. Zambi haiwachukizi kama

ilivyomchukiza Bwana wao. Hawajitoi kwa kupigana nayo. Tabia ya mkuu wa giza

imewafanya vipofu. Wengi hawajui kwamba adui wao ni mkubwa mwenye nguvu za

kupigana kumpinga Kristo. Hata wahuduma wa habari njema hawaoni ushaihidi wa kazi yake.

Wanaonekana kutojali kuwako kwa hakika kwake.

Adui Mwangalifu

207

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!