12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Mabishano kwa Ajiii ya Mtu

Mbingu yote ikaona haki ya Mungu kufunuliwa. Lusifero alidai kwamba wanadamu wa

zambi wangekuwa mbali ya ukombozi. Lakini azabu ya sheria ikaanguka juu yake aliyekuwa

sawa na Mungu, na mtu akawa huru kukubali haki ya Kristo na kwa njia ya toba na kujishusha

kwa kushinda nguvu za Shetani.

Lakini Kristo hakuja duniani kufa kwa ajili ya kukomboa mtu tu. Alikuja kuonyesha kwa

dunia zote kwamba sheria ya Mungu ni sheria isiyobadilika. Mauti ya Kristo inaihakikisha

kuwa isiyogeuka na inaonyesha kwamba haki na rehema ndiyo msingi wa utawala wa Mungu.

Katika hukumu ya mwisho itaonekana kwamba hapana sababu kwa ajili ya zambi kuwako.

Wakati Mwamzi wa dunia yote atakapo muuliza Shetani, “Sababu gani uliasi juu yangu?”

Mwanzishaji wa zambi hataweza kutoa sababu.

Katika kupaza sauti kwa Mwokozi, “Imekwisha, “tarumbeta ya mauti ya Shetani ililia.

Vita kuu ikakusudiwa, kungoa kwa mwisho kwa uovu kukahakikishwa. Kwa maana “siku

inakuja, inawaka kama tanuru; na wenye kiburi wote, na wote wanaotumika uovu watakuwa

kama makapi makavu; na siku itakayokuja itawateketeza, Bwana wa majeshi anasema; hata

haitawaachia, wala shina wala tawi.” Malaki 4:1. Uovu hautaonekana tena kamwe. Sheria ya

Mungu itaheshimiwa kama sheria ya uhuru. Viumbe vyote vilivyojaribiwa na kuhakikishwa

havitageuka kamwe kwa kumtii yeye ambaye tabia yake imeonekana kama upendo

usiopimika na hekima isiyo na mwisho.

206

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!