12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

za Mungu kama kizuio cha uhuru na akatangaza kusudi lake la kupata kuondoshwa kwa

sheria. Kwa kuwekwa huru kwa amri hii, majeshi ya mbinguni wangeweza kuingia juu ya

hali ya kujipandisha zaidi katika maisha.

Kufukuziwa Mbali Kutoka Mbinguni

Shetani na jeshi lake wakatupa laumu la uasi wao juu ya Kristo; kama hawakulaumiwa,

kama hawangeasi kamwe. Wagumu na wakiburi, huku wakajitangaza kwa matukano kuwa

watu wasiokuwa na kosa na kwamba waliteswa na mamlaka makali. Muasi mkubwa wa

waliomfuata wakafukuzwa kutoka mbinguni. Tazama Ufunuo 12:7-9.

Roho ya Shetani ingali inaendesha uasi duniani katika wana wa uasi. Kama yeye

wakaahidia watu uhuru kwa kuvunja sheria ya Mungu. Hakikisho la zambi likaendelea

kuamsha uchuki. Shetani anaongoza watu kujihakikisha wao wenyewe na kutafuta huruma

ya wengine katika zambi zao. Badala ya kusahihisha makosa yao, wanaamsha hasira juu ya

mwenye kukaripia, kama kwamba wanakuwa chanzo cha shida. Kwa kusingizia kwa namna

ileile ya tabia ya Mungu kama alivyoyatumia mbinguni, kumfanya kuwa kama mwenye

kuzaniwa kama mkali na wa kushurutisha, Shetani akashawishi mtu kwa zambi. Akatangaza

kwamba vizuizi visivyo na haki vya Mungu viliongoza kuanguka kwa mtu, kama

vilivyoongoza kwa uasi wake mwenyewe.

Katika kufukuziwa kwa Shetani kutoka mbinguni, Mungu alitangaza haki yake na

heshima. Lakini wakati mtu alipotenda zambi, Mungu alitoa ushuhuda wa upendo wake kwa

kutoa Mwana wake kufa kwa ajili ya taifa lililoanguka. Katika upatanisho tabia ya Mungu

imefunuliwa. Mabishanomakubwa ya msalaba yanaonyesha kwamba zambi haikuwa na

hekima yo yote kulipizwa juu ya utawala wa Mungu. Wakati wa huduma ya kidunia ya

Mwokozi, mdanganyi mkubwa akafunuliwa. Matukano ya wazi ya kutaka kwamba Kristo

amupe heshima kuu, uovu usiolala uliomuwinda pahali po pote, kuongoza mioyo ya

makuhani na watu kukataa upendo wake na kulalamika kwa sauti, “Asulibiwe! asulibiwe!” -

-yote haya yaliamsha mshangao na hasira ya ulimwengu. Mfalme wa zambi akatumia uwezo

wake wote na werevu kuharibu Yesu. Shetani akatumia watu kama wajumbe wake kujaza

maisha ya Mwokozi kwa mateso na huzuni. Chuki na wivu na uovu, machukio na kisasi,

vikaanguka kutoka Kalvari juu ya Mwana wa Mungu.

Sasa kosa la Shetani likaonekana wazi. Alifunua tabia yake ya kweli. Mashitaki ya

uwongo ya Shetani juu ya tabia ya Mungu yakaonekana katika nuru yao ya kweli. Alimshitaki

Mungu juu ya kutafuta kujiinua mwenyewe katika kuomba utii kwa viumbe vyake na

akatangaza kwamba wakati Muumba alipolazimisha wote kujikana mwenyewe, Yeye

mwenyewe hakutumia kujikana mwenyewe na hakutoa kafara yo yote. Sasa ilionekana

kwamba Mtawala wa ulimwengu alitoa kafara kubwa sana ambayo upendo uliweza kufanya,

“maana, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akipatanisha ulimwengu naye mwenyewe.” 2

Wakorinto 5:19. Kusudi aharibu zambi Kristo akajinyenyekea mwenyewe na kuwa mtiifu

hata mauti.

205

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!