12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

zambi. Zambi ni onyesho la kanuni inayoleta kwa vita sheria ya upendo, inayokuwa msingi

wa serkali ya Mungu.

Mbele ya kuingia kwa zambi amani na furaha ilikuwa katika viumbe vyote. Upendo kwa

Mungu ulikuwa mkubwa, upendo kwa mtu na kwa mwingine ulikuwa wa bila ubaguzi. Kristo

Mwana wa pekee wa Mungu alikuwa mmoja pamoja na Baba wa milele katika hali, katika

tabia, na katika kusudi--ni yeye peke yake ambaye aliweza kuingia katika mashauri yote na

makusudi ya Mungu. ‘’Katika yeye vitu vyote viliumbwa vilivyo mbinguni, ... ikiwa ni viti

vya wafalme ao usultani ao falme ao mamlaka.” Wakolosayi 1:16.

Sheria ya upendo ilikuwa msingi wa utawala wa Mungu, furaha ya viumbe vyote

vilivyoumbwa ilitegemea kwa upatano pamoja na kanuni zake za haki. Mungu hapendezwi

na utii wa kulazimishwa, na kwa wote anatoa uhuru wa mapenzi, kwamba wanaweza

kumfanyia kazi bila kulazimishwa).

Lakini kulikuwa na mmoja aliyechagua kuharibu vibaya uhuru huo. Zambi ilianzia kwake,

yeye aliyekuwa, baada ya Kristo, aliheshimiwa sana kwa Mungu. Mbele ya kuanguka kwake,

Lusifero alikuwa wa kwanza kwa wakerubi wa kufunika, mtakatifu na mwenye usafi. “Bwana

Mungu anasema hivi: Ulikuwa muhuri wa ukamilifu, mwenye kujaa na hekima na ukamilifu

wa uzuri. Wewe ulikuwa katika Edeni, shamba la Mungu; kila jiwe la damani lilkuwa

kifunuko chako. ... Wewe ulikuwa kerubi wa kufunika mwenye kutiwa mafuta; nami

nilikuweka juu ya mlima mtakatifu wa Mungu; umetembea huko na huko katikati ya mawe

ya moto. Ulikuwa mkamilifu kwa njia zako tangu siku ulipoumbwa, hata uovu ulipoonekana

ndani yako. ... Moyo wako umenyanyuliwa kwa sababu ya uzuri wako, umeharibu hekima

yako kwa sababu ya kungaa kwako.” “Nawe ulisema moyoni mwako ... Nitanyanyua kiti

changu cha enzi juu kupita nyota za Mungu, Na nitakaa juu ya mlima wa makutano. ...

Nitapanda juu kupita vimo vya mawingu, Nitafanana naaliye juu Sana.” Ezekieli 28:12-17;

28:6; Isaya 14:13,14.

Kutamani heshima ambayo Baba aliweka juu ya Mwana wake, mtawala huyu wa malaika

akatamani kwa uwezo ambao ulikuwa ni mamlaka ya Kristo peke yake kutawala. Sauti

isiyopatana sasa ikaharibu mapatano ya mbinguni. Kujiinua kwa nafsi kukaamsha visirani

vya uovu katika mioyo ambayo utukufu wa Mungu ulikuwa mkubwa. Baraza za mbinguni

zikatetea pamoja na Lusifero. Mwana wa Mungu akaonyesha mbele yake wema na haki ya

Muumba na tabia takatifu ya sheria yake. Kwa kuiacha, Lusifero angezarau Muumba wake

na kujiletea uharibifu juu yake mwenyewe. Lakini onyo peke likaamsha msimamo. Lusifero

akaruhusu wivu wa Kristo kushinda.

Kiburi kikazidisha tamaa ya mamlaka. Heshima za juu zilizotolewa kwa Lusifero zikaleta

kutokuwa na shukrani kwa Muumba. Akatamani kuwa sawa sawa na Mungu. Huku Mwana

wa Mungu alikuwa Mfalme aliyekubaliwa wa mbingu, mmoja kwa uwezo na mamlaka

pamoja na Baba. Katika mipango yote ya Mungu, Kristo alikuwa mshirika, lakini Lusifero

hakuruhusiwa kuingia katika makusudi ya kimungu. “Sababu gani,” akauliza huyu malaika

202

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!