12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Shetani basi, ili aweze kushinda Mungu alikata shauri ya kusimamisha mwenge wake

ndani ya kanisa la Kristo, ili apate ujanja kile alichoshindwa kupata kwa nguvu. Mateso

yakakoma. Kwa mahali pake kukawekwa mvuto wa mafanyikio ya kidunia heshima za muda.

Waabudu sanamu wakaongozwa kupokea sehemu ya imani ya kikristo, wakikataa mambo ya

ukweli yaliyo ya maana . Wakatangaza kumkubali Yesu kama Mwana wa Mungu na kuamini

kufa na kufufuka kwake, lakini bila kukubali hali yao ya zambi, na hawakusikia lazima ya

kuungama au badiliko la moyo waweze kuungana katika mafikara ya imani katika Kristo.

Sasa kanisa lilikuwa katika hofu ya maangamizo. Kifungo, mateso, moto, na upanga

vilikuwa ni mibaraka kwa kulinganisha pamoja na jambo hili. Baadhi ya Wakristo

walisimama imara, kutangaza kwamba haikupasa kufanya mapatano. Wengine walikubali

kugeuza imani yao. Chini ya vazi ya kondoo ya ukristo unaodaiwa, Shetani alikuwa akijificha

yeye mwenyewe ndani ya kanisa, kwa kuchafua au kuharibu imani yao.

Wakristo wengi mwishowe walikubali kushusha kanuni ya imani yao. Na umoja

ukafanyika kati ya ukristo na upagani. Ingawa waabudu sanamu walijifanya kuwa washiriki

wa makanisa walizidi kujiunga kwa ibada ya sanamu zao, ila tu wakageuza vyombo vya ibada

yao kwa sanamu za Yesu, na hata za Maria na watakatifu. Mafundisho mabaya, kawaida za

kuabudu mambo ya uchawi, na sherehe za ibada ya sanamu zikaunganishwa katika imani ya

kanisa na ibada. Dini ya Kikristo ikaharibika, na kanisa likapoteza utakatifu (usafi) na uwezo

wake. Wengine lakini, hawakudanganyika. Waliendelea kushika uaminifu wao kwa Muumba

wa ukweli.

Makundi Mawili ndani ya Kanisa

Kulikuwa makundi mawili miongoni mwa wale waliojidai kuwa wafuasi wa Kristo.

Wakati kundi moja lilijifunza maisha ya Mwokozi na kwa uangalifu wakatafuta kuhakikisha

makosa yao na kufuata Mfano, kundi lingine likaepuka mambo ya kweli wazi wazi

yaliyofunua makosa yao. Hata katika hali yake bora, washiriki wa kanisa wote hawakuwa wa

kweli, safi, na amini. Yuda aliunganishwa na wanafunzi, ili kwa njia ya mafundisho na mifano

ya Yesu angeweza kugeuka kwa kuona makosa yake. Lakini kwa upendeleo katika zambi

akaalika majaribu ya Shetani. Akakasirika wakati makosa yake yalihakikishwa na ndipo

akaongozwa kusaliti Bwana wake. Tazama Marko 14:10,11.

Anania na Safira wakajidai kutoa kafara kamili kwa Mungu wakati walizuia kwa tamaa

sehemu kwa ajili yao wenyewe. Roho wa ukweli akafunua kwa mitume tabia ya kweli ya

wajanja hawa, na hukumu za Mungu zikaokoa kanisa kwa laumu mbaya kwa usafi wake.

Tazama Matendo 5:1-11. Mateso yalipokuja juu ya wafuasi wa Kristo, wale tu waliotaka

kuacha vyote kwa ajili ya ukweli walitamani kuwa wanafunzi wake. Lakini kwa vile mateso

yalipokoma, waongofu waliongezeka wasiokuwa wa kweli, na njia ikafunguliwa kwa ajili ya

Shetani kupata pa kuwekea mguu.

13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!