You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

Kwa wakati huu juu ya vitu vyote vingine inafaa kila nafsi kusikia onyo la upole la

Mwokozi: “Tazameni, ombeni, maana hamujui wakati ule.” Marko 13:33.

Mwisho wa Wote Umekatwa

Rehema imeisha kwa wakati mfupi kabla ya kuonekana kwa Bwana katika mawingu ya

mbinguni. Kristo akitazama wakati ule, anasema: “Yeye aliye mzalimu azidi kuwa mzalimu;

na mwenye uchafu azidi kuwa mchafu; na mwenye haki azidi kufanya haki; na mtakatifu azidi

kutakaswa. Tazama, ninakuja upesi na mshahara wangu ni pamoja nami, kulipa kila mtu kama

ilivyo kazi yake.” Ufunuo 22:11,12.

Watu watakuwa wakipanda na kujenga, kula na kunywa, wote pasipokufahamu ya kuwa

hukumu ya mwisho imetangazwa katika Pahali patakatifu mbinguni. Mbele ya Garika, baada

ya Noa kuingia katika safina, Mungu akamfungia ndani na kufungia waovu inje; lakini kwa

siku saba watu wakaendelea na maisha yao ya kupenda anasa na wakachekelea maonyo ya

hukumu. “Ndivyo” asema Mwokozi, “kutakavyokuwa kuja kwa Mwana wa watu.” Kwa

kimya, bila kuonwa kama mwizi usiku wa manane, saa itakuja ambayo inaonyesha kukata

shauri la mwisho wa kila mtu. “Basi angalieni: ... asije na kuwasitusha ninyi gafula,

akawakuta mumelala.” Matayo 24:39; Marko 13:35,36.

Hali ni yenye hatari ya wale ambao, huendelea kuchoka kwa kukesha kwao, wanageuka

kwa mivuto ya dunia. Wakati mtu wa biashara anaposhughulika katika kufuata faida, wakati

mwenye kupenda anasa anapotafuta anasa, wakati binti wa desturi ya kuvaa nguo

anapotengeneza mapambo yake--inaweza kuwa katika saa ile Mwamzi wa dunia yote

atatangaza hukumu, “Umepimwa katika mizani, nawe umeonekana kuwa umepunguka.”

Danieli 5:27.

Sura 29. Asili ya Uovu

Wengi wanaona kazi ya uovu, na msiba wake na ukiwa, na wanauliza namna gani hii

inaweza kuwa chini ya utawala wa Huyu Mmoja asiyekuwa na mwisho katika hekima, uwezo

na upendo. Wale wanaotaka kuwa na mashaka wanashikamana na jambo hili na kutafuta

sababu ya kukataa manene ya Maandiko matakatifu. Desturi ya asili na mafahamu mabaya ya

maandiko yameficha mafundisho ya Biblia kuhusu tabia ya Mungu, asili ya mamlaka yake,

na kanuni zake kuhusu zambi.

Haiwezekani kueleza mwanzo wa zambi vilevile kama kutoa sababu kwa ajili ya kuwako

kwake (zambi). Kwani kuna mambo mengi ya kutosha inayoweza kufahamiwa juu ya

mwanzo na hali ya mwisho ya zambi kufanya onyesho kamili haki na wema wa Mungu.

Mungu kwa hekima yo yote hakuwa mwenye madaraka kwa zambi; hapakuwa bila sababu

kuondolewa kwa neema ya Mungu, hakuna upungufu katika mamlaka ya kimungu, iliyotoa

nafasi kwa uasi. Zambi ni mpelelezi (mdukizi) ambaye kuwako kwake hakuna sababu

inayoweza kutolewa. Kuisamehe ni kuitetea. Kama iliweza kusamehewa ingekoma kuwa

201