12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 28. Hukumu Nzito

“Nikaangalia hata viti vya enzi vilipowekwa, na mmoja aliye mzee wa siku akaketi:

mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi, kiti

chake cha enzi kilikuwa ndimi za moto, na magurudumu yake moto unaowaka. Na mto wa

moto ukatoka, ukapita mbele yake, elfu ya maelfu wakamutumikia, na elfu kumi mara elfu

kumi walisimama mbele yake: hukumu ikawekwa, vitabu vikafunguliwa.” Danieli 7:9,10.

R.V.

Ndivyo ilivyoonyeshwa kwa njozi ya Danieli siku kubwa wakati maisha ya watu inapopita

katika mkaguo mbele ya Mwamzi wa dunia yote. Mzee wa Siku ni Mungu Baba. Yeye,

chemchemi ya viumbe vyote,kisima cha sheria yote, anapaswa kuongoza katika hukumu. Na

malaika watakatifu kama wahuduma na washuhuda, wanahuzuria.

“Na tazama, pamoja na mawingu ya mbingu alikuja mmoja aliye mfano wa mwana wa

watu, akakaribia huyu Mzee wa Siku, wakamuleta karibu mbele yake. Akapewa mamlaka, na

utukufu, na ufalme, ili watu wote, mataifa yote, na lugha zote wamutumikie; mamlaka yake

ni mamlaka ya milele, isiyopita kamwe, na ufalme wake ufalme usioweza kuangamizwa.”

Danieli 7:13,14.

Kuja kwa Kristo kunakoelezwa hapa si kuja kwake kwa mara ya pili duniani. Anakuja

kwa Mzee wa Siku katika mbingu kupokea ufalme ambao utatolewa kwake wakati wa

mwisho wa kazi yake kama mpatanishi. Ni kuja huko, na si kuja kwake kwa mara ya pili

dunianini, ile iliyopashwa kufanyika kwa mwisho wa siku 2300 katika mwaka 1844. Kuhani

wetu Mkuu anaingia Pahali patakatifu pa patakatifu kushughulika katika kazi yake ya mwisho

kwa ajili ya mtu.

Katika huduma ya mfano ila wale ambao zambi zao zilihamishwa kwa Pahali patakatifu

walikuwa na sehemu katika Siku ya Upatanisho. Vivyo hivyo katika upatanisho kubwa wa

mwisho na hukumu ya uchunguzi kesi zilizoangaliwa ni zile za watu wa Mungu

wanaojulikana. Hukumu ya waovu ni kazi iliyotengwa na itafanywa baadaye. “Hukumu

inapashwa kuanza katika nyumba ya Mungu.” 1 Petro 4:17.

Vitabu vya ukumbusho katika mbingu vianapaswa kuamua matokeo ya hukumu. Kitabu

cha uzima kinakuwa na majina ya wote walioingia daima kwa kazi ya Mungu. Yesu aliambia

wanafunzi wake: “Lakini furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa katika mbingu.”

Paulo anasema juu ya watumishi wenzake, “Walio na majina yao katika kitabu cha uzima.”

Danieli anatangaza kwamba watu wa Mungu watakombolewa, “kila mtu atakayeonekana

ameandikwa katika kitabu.” Na mfumbuaji anasema kwamba wale tu watakaoingia Mji wa

Mungu ambao majina yao “walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.”

Luka 10:20; Wafilipi 4:3; Danieli 12:1; Ufunuo 21:27.

196

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!