12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Hapawezi kuwa kujiinua mwenyewe, hapana madai ya kujisifu kwa uhuru wa zambi kwa

upande wa wale wanaotembea katika kivuli cha msalaba wa Kalvari. Waliona kwamba

ilikuwa ni zambi yao ambayo ilianzisha maumivu makuu yaliyovunja moyo wa Mwana wa

Mungu, na wazo hili litaongoza kwa kujinyenyekeza. Wale wanaoishi karibu sana na Yesu

wanatambua wazi zaidi uzaifu na hali ya zambi ya wanadamu, na tumaini lao moja tu

linakuwa katika tabia nzuri ya Mwokozi aliyesulibiwa na kufufuka.

Utakaso sasa unaoendelea mbele kwa sifa katika watu wa dini unaeneza roho ya kujiinua

na kutojali kwa sheria ya Mungu ambayo inauonyesha kama jambo la kigeni kwa Biblia.

Watetezi wake hufundisha kwamba utakaso ni kazi ya dakika moja, ambayo, katika “imani

tu,” wanafikia utakatifu kamili. “Uamini tu,” wanavyosema, “na mibaraka ni yako.” Hapana

juhudi ya zaidi kwa upande wa mwenye kupokea inayopashwa kufanywa. Kwa wakati ule ule

wakakataa mamlaka ya sheria ya Mungu, kushurutisha kwamba wamewekwa huru kwa

kanuni ya kushika amri. Lakini inawezekana kuwa mutakatifu pasipo kuja katika umoja na

kanuni ambazo zinaonyesha tabia ya Mungu na mapenzi yake?

Ushuhuda wa Neno la Mungu unakuwa kinyume cha mafun-disho haya ya mtego ya imani

pasipo matendo. Si imani inayotafuta kibali cha Mungu bila kushika tabia inayohitajiwa kwa

ajili ya rehema ya kutolewa. Ni kiburi. Tazama Yakobo 2:14-24.

Hebu watu wasijidanganye wenyewe kwamba wanaweza kuwa watakatifu wanapovunja

kwa makusudi mojawapo ya matakwa ya Mungu. Zambi inayojulikana inanyamazisha

ushuhuda wa sauti ya Roho na inatenga nafsi toka kwa Mungu. Ingawa Yoane alidumu kabisa

juu ya mapendo, hakusita kufunua tabia ya kweli ya kundi linalojidai kuwa takatifu wakati

wanapoishi katika kuvunja sheria ya Mungu. “Yeye anayesema; Nimemujua, wala hashiki

amri zake, ni mwongo, wala kweli si ndani yake. Lakini yeye anayeshika neno lake, katika

huyu mapendo ya Mungu yamekamilishwa kweli kweli.” 1 Yoane 2:4,5. Hapa kuna jaribio

ya ushuhuda wa kila mtu. Kama watu wanapungua na kuzarau amri za Mungu, kama

“wakivunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kufundisha watu hivyo” (Matayo 5:18,19),

tunaweza kujua kwamba madai yao hayana msingi.

Kusema hana zambi ni ushuhuda kwamba yeye anatangaza haya anakuwa mbali kwa

utakatifu. Hana wazo la kweli la usafi usiokuwa na mwisho na utakatifu wa Mungu, na uovu

na ubaya wa zambi. Zaidi anajitenga mbali kwa Kristo,zaidi anajiona yeye mwenyewe kuwa

mwema.

Utakaso wa Biblia

Utakaso unahusu hali kamili ya mtu--roho, nafsi, na mwili. Tazama 1 Watesalonika 5:23.

Wakristo wanaalikwa kutoa miili yao, “iwe zabihu iliyo hai, takatifu, ya kupendeza Mungu.”

Waroma 12:1. Kila desturi yo yote inayozoofisha nguvu za mwili ao akili inaondolea mtu

uwezo kwa kazi ya Muumba. Wale wanaompenda Mungu kwa moyo wao wote watatafuta

daima kuleta nguvu zote za maisha yao kwa umoja pamoja na sheria zinazoendeleza nguvu

193

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!