12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 27. Mabadiliko ya Kweli

Popote Neno la Mungu lilipohubiriwa kwa uaminifu, matokeo yaliyofuata ni ya

kushuhudia asili yake ya kimungu. Wenye zambi walijisikia zamiri zao kuamka. Hakikisho

la kosa likashikilia nia zao na mioyo yao. Walikuwa na utambuzi wa haki ya Mungu, na

wakapaza sauti: “Nani atakayeniokoa na mwili huu wa kufa?” Waroma 7:24. Kama vile

msalaba ulivyofunuliwa, waliona kwamba hakuna kitu kingine bali tabia nzuri tu za Kristo

ziliweza kupatanisha kwa ajili ya makosa yao. Kwa damu ya Yesu walikuwa na “ondoleo la

zambi zile zilizopita.” Waruma 3:25.

Roho hizi zikaamini na zikabatizwa na wakasimama kwa kutembea katika upya wa uzima,

kwa imani ya Mwana wa Mungu kwa kufuata hatua zake, kuonyesha tabia yake, na kujitakasa

wao wenyewe kama yeye ni mutakatifu. Vitu walivyokuwa wakichukia sasa wakavipenda, na

vile walivyokuwa wakipenda wakavichukia. Mwenye kiburi akawa mpole, mtu asiyefaa na

wa kujivuna akawa wa maana na mnyenyekevu. Mlevi akawa mwenye busara, mpotovu

akawa mtakatifu. Wakristo hawakutafuta “kujipamba kwa kusuka nywele, na kuvaa vitu vya

zahabu, ao kuvaa mavazi; lakini ... katika mapambo yasiyoharibika, ndiyo roho ya upole na

utulivu iliyo ya damani kubwa mbele ya Mungu.” 1 Petro 3:3,4.

Maamsho yaliamshwa na miito ya upole kwa mwenye zambi. Matunda yalionekana katika

roho zilizojitenga si kwa kujikana mwenyewe bali wakafurahi kwamba walihesabiwa

kustahili kuteswa kwa ajili ya Kristo. Watu wakaona badiliko katika wale waliotangaza jina

la Yesu. Ni vile mambo yalivyokuwa katika miaka ya kwanza iliofuata nyakati za uamsho wa

dini.

Lakini maamsho mengi ya nyakati za kisasa yanaonyesha tofauti kubwa. Ni kweli kwamba

wengi wanatangaza toba, na wengi wanaingia ndani ya makanisa. Hata hivyo matokeo si ya

namna kama ya kushuhudia imani kwamba hapo kumekuwa na maendeleo ya kulingana ya

maisha ya kiroho ya kweli. Nuru ambayo inawaka kwa muda ikafa kwa upesi.

Maamsho ya watu wengi mara nyingi yanaamsha sikitiko, hupendeza watu kwa kitu

kinachokuwa kipya na cha kwanza. Kwa hivyo wale waliogeuka wanakuwa na haja kidogo

kusikiliza kweli ya Biblia. Isipokuwa hudumu ya kanisa inakuwa na kitu cha tabia ya ajabu,

kama si vile, haina mvuto kwao.

Kwa kila roho iliyogeuka kweli uhusiano kwa Mungu na kwa vitu vya milele utakuwa ni

kitu kikubwa chakuzungumuziwa katika maisha. Ni pahali gani katika makanisa ya watu

wengi ya leo kunapatikana roho ya kujitoa kwa Mungu? Waliogeuka hawaache kiburi na

mapendo ya dunia. Hawakubali tena kuikana nafsi na kufuata Yesu mpole na mnyenyekevu

kuliko mbele ya toba yao. Utawa karibu kutoka kwa wengi wa makanisa.

Ijapo imani ilipunguka mahali pengi sana, kunakuwa wafuasi wa kweli wa Kristo katika

makanisa haya. Kabla ya kufika kwa hukumu za Mungu za mwisho, kutakuwa katikati ya

189

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!