12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 26. Washujaa kwa Ajili ya Ukweli

Matengenezo juu ya sabato katika siku za mwisho yametabiriwa katika Isaya: “Bwana

anasema hivi: Shikeni hukumu, na mufanye haki; kwa sababu wokovu wangu ni karibu kuja,

na haki yangu kufunuliwa. Heri mtu anayefanya maneno haya, na mwana wa mtu

anayeyashika sana; anayeshika sabato asizivunje, anayezuiza mkono wake usifanye uovu wo

wote... Vilevile wana wa mgeni, wanaojiunga na Bwana, kumutumikia, na kupenda jina la

Bwana, kuwa watumishi wake, yeyote anayeshika sabato asiivunje, na kushika sana agano

langu; hata wale nitawaleta kwa mlima wangu mtakatifu, na kuwafurahisha katika nyumba

yangu ya maombi.” Isaya 56:1,2,6,7.

Maneno haya yanaelekea kwa wakati wa kikristo, kama inavyoonyeshwa kwa maneno

(mstari 8). Hapa ni kuonyesha mbele mkusanyiko wa Mataifa kwa njia ya habari njema,

wakati watumishi wake wanapohubiri kwa mataifa yote habari za furaha.

Bwana anaamuru, “Tia muhuri juu ya sheria katikati ya wanafunzi wangu.: Isaya 8:16.

Muhuri wa sheria ya Mungu unapatikana katika amri ya ine. Hii tu, ya amri zote kumi,

inayoleta maoni ya jina na anwani ya Mutoa sheria. Wakati Sabato ilipogeuzwa kwa mamlaka

ya Papa (kanisa la Roma), muhuri uliondolewa kutoka kwa sheria. Wanafunzi wa Yesu

wanaitwa kwa kuurudisha kwa kuinua Sabato kama ukumbusho wa Muumba na alama ya

mamlaka yake.

Agizo limetolewa: “Piga kelele, usiache, pandisha sauti yako kama baragumu, uhubiri

watu wangu kosa lao.” Wale ambao Bwana anawataja kama “watu wangu” wanapaswa

kukaripiwa kwa ajili ya makosa yao, kundi linalojifikiri wao wenyewe kuwa la haki katika

kazi ya Mungu. Lakini kemeo la upole la mwenye kutafuta mioyo linawashuhudia kuvunja

amri za Mungu. Isaya 58:1,2.

Kwa hiyo nabii anaonyesha amri ambayo iliyoachwa: “Utanyanyulisha misingi ya vizazi

vingi; nawe utaitwa, Mwenye kutengeneza pahali pa kubomoka; Mwenye kurudisha njia za

kukalia. Kama ukigeuza mguu wako kutoka katika Sabato, usifanye mapenzi yako katika siku

yangu takatifu na kuita sabato siku ya furaha, siku takatifu ya Bwana, yenye heshima; kama

ukiiheshimu, pasipo kufuata njia zako mwenyewe, wala kutafuta mapenzi yako mwenyewe,

wala kusema maneno yako mwenyewe; ndipo utajifurahisha katika Bwana.” Isaya 58:12-14.

“Tundu” lilifanywa katika sheria ya Mungu wakati Sabato ilipogeuzwa kwa mamlaka ya

Roma. Lakini wakati umefika kwa tundu kutengenezwa.

Sabato ilishikwa na Adamu katika usafi wake katika Edeni; na Adamu, aliyeanguka lakini

akatubu, wakati alipofukuzwa kwa shamba ao cheo chake. Ilishikwa na mababa wote tangu

Abeli hata Noa, kwa Abrahamu, hata Yakobo. Wakati Bwana alipookoa Israeli, akatangaza

sheria yake kwa makutano.

Sabato ya Kweli Kila Mara Ilishikwa

186

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!