12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kutolewa kwa ulimwengu kabla ya kuzuriwa kwa hukumu ya Mungu, ili wote waweze kuwa

na bahati ya kuziepuka. Malaika wa kwanza anafanya tangazo lake kwa “kila taifa, na kabila,

na lugha, na jamaa.” Onyo la malaika wa tatu ni la kuenea sana, linatangazwa kwa sauti kubwa

na litaagiza uangalifu wa ulimwengu.

Wote watajitenga kwa makundi makubwa mawili--wale wanaoshika amri za Mungu na

imani ya Yesu, na wale wanaomwabudu mnyama na sanamu yake na wanapokea chapa yake.

Kanisa na Serkali itaungana kushurutisha “wote” kwa kupokea “chapa cha mnyama,” kwani

watu wa Mungu hawataipokea. Nabii anatazama “wale walioshinda yule nyama na sanamu

yake, na hesabu ya jina lake, wamesimama kando ya bahari ya kioo, wenye vinubi vya

Mungu.” Ufunuo 15:2.

185

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!