Kupinga ya Kiprotestanti
Kupinga ya Kiprotestanti Wakatoliki wa Roma wanatambua kwamba badiliko la Sabato lilifanywa na kanisa lao, na kutangaza kwamba Waprotestanti, kwa kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma), wanatambua mamlaka ya Roma. Maneno yamesemwa: “Wakati wa sheria ya kale, jumamosi (siku ya saba) ilikuwa siku iliyotakaswa; lakini kanisa, lilipoagizwa na Yesu Kristo, na kuongozwa na Roho ya Mungu, likabadilisha Jumapili (siku ya kwanza ya juma: Dimanche) kwa Jumamosi (siku ya saba ya juma:Samedi), kwa hiyo tunatakasa siku ya kwanza, si siku ya saba, Jumapili maana yake, na sasa ni, siku ya Bwana.” Kama alama ya mamlaka ya Kanisa la Wakatoliki, waandishi wa Kanisa la Roma wananena “Tendo kabisa la kugeuza Sabato kwa Jumapili (siku ya kwanza ya juma), ambalo Waprotestanti wanakubali; ... kwa sababu ya kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma), wanakubali mamlaka ya kanisa kwa kuamuru siku kuu, na kuzitawala chini ya zambi.” Ni nini tena badiliko la Sabato, lakini ni alama, ao chapa, cha mamlaka ya Kanisa la Roma- -“chapa ya mnyama”? Kanisa la Roma halikuacha madai yake kwa mamlaka. Wakati ulimwengu na makanisa ya Waprotestanti wanapokubali sabato iliotungwa na Roma, wakati wanapokataa Sabato ya Biblia, wanakubali kwa kweli majivuno haya. Kwa kufanya vile wanazarau kanuni zinazowatenga kwa Roma--kwamba “Biblia, na ni Biblia tu, ni dini ya Waprotestanti.” Kwa namna mwendo kwa ajili yakulazimisha Jumapili (siku ya kwanza ya juma) unapata upendeleo, mwishoni italeta Waprotestanti wote chini ya bendera ya Roma. Wakristo wa Kanisa la Roma wanatangaza kwamba “kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma) kwa Waprotestanti ni heshima kuu wanatoa, kwa kujichukia wenyewe, kwa mamlaka ya Kanisa .”7 Kwa kulazimisha kazi ya dini kwa mamlaka ya serkali ni kufanya sanamu kwa mnyama; kwa hiyo kulazimisha kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma) katika Amerika kungekuwa kulazimusha kuabudu ya mnyama na sanamu yake. Wakristo wa vizazi vilivyopita walishika Jumapili (siku ya kwanza ya juma) wakizani kwamba walikuwa wakishika Sabato ya Biblia, sasa kunakuwa Wakristo wa kweli katika kila kanisa ambao kwa uaminifu wanaamini kwamba Jumapili (siku ya kwanza ya juma) ni agizo la kimungu. Mungu anakubali uaminifu wao na uhaki yao. Lakini wakati kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma) itakapolazimishwa kwa sheria na ulimwengu utaangaziwa juu ya Sabato ya kweli, ndipo ye yote atakayevunja amri ya Mungu kwa kutii amri ya Roma kwa hiyo atakuwa anaheshimu mafundisho ya kipapa kuliko ya Mungu. Anakuwa akitoa heshima kwa Roma. Anakuwa akiabudu mnyama na sanamu yake. Ndipo watu watapokea chapa cha utii kwa Roma--“chapa ya mnyama.” Yale hayatafanyika hata mambo yanapowekwa wazi mbele ya watu na watakapoletwa kwa kuchagua kati ya amri za Mungu na amri za watu, ndipo wale wanaoendelea katika kuvunja amri watapokea “chapa ya mnyama.” Onyo la Malaika wa Tatu Hofu ya kutisha zaidi iliyoambiwa daima kwa wanadamu inakuwa katika ujumbe wa malaika wa tatu. Watu hawapaswi kuachwa gizani juu ya jambo hili la maana; onyo linapaswa 184
Kupinga ya Kiprotestanti kutolewa kwa ulimwengu kabla ya kuzuriwa kwa hukumu ya Mungu, ili wote waweze kuwa na bahati ya kuziepuka. Malaika wa kwanza anafanya tangazo lake kwa “kila taifa, na kabila, na lugha, na jamaa.” Onyo la malaika wa tatu ni la kuenea sana, linatangazwa kwa sauti kubwa na litaagiza uangalifu wa ulimwengu. Wote watajitenga kwa makundi makubwa mawili--wale wanaoshika amri za Mungu na imani ya Yesu, na wale wanaomwabudu mnyama na sanamu yake na wanapokea chapa yake. Kanisa na Serkali itaungana kushurutisha “wote” kwa kupokea “chapa cha mnyama,” kwani watu wa Mungu hawataipokea. Nabii anatazama “wale walioshinda yule nyama na sanamu yake, na hesabu ya jina lake, wamesimama kando ya bahari ya kioo, wenye vinubi vya Mungu.” Ufunuo 15:2. 185
- Page 141 and 142: Kupinga ya Kiprotestanti tarehe hii
- Page 143 and 144: Kupinga ya Kiprotestanti wakati wa
- Page 145 and 146: Kupinga ya Kiprotestanti kutosha; n
- Page 147 and 148: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 19. S
- Page 149 and 150: Kupinga ya Kiprotestanti Zahabu saf
- Page 151 and 152: Kupinga ya Kiprotestanti kwa uangal
- Page 153 and 154: Kupinga ya Kiprotestanti Miaka mita
- Page 155 and 156: Kupinga ya Kiprotestanti Imani ya n
- Page 157 and 158: Kupinga ya Kiprotestanti Watu wakas
- Page 159 and 160: Kupinga ya Kiprotestanti Lakini wal
- Page 161 and 162: Kupinga ya Kiprotestanti Giza ya ki
- Page 163 and 164: Kupinga ya Kiprotestanti Mwanamke (
- Page 165 and 166: Kupinga ya Kiprotestanti kupendeza
- Page 167 and 168: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 22. U
- Page 169 and 170: Kupinga ya Kiprotestanti Katika mat
- Page 171 and 172: Kupinga ya Kiprotestanti 408 k.k -
- Page 173 and 174: Kupinga ya Kiprotestanti wazi, akap
- Page 175 and 176: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 23. S
- Page 177 and 178: Kupinga ya Kiprotestanti ya mbingun
- Page 179 and 180: Kupinga ya Kiprotestanti mufano kuz
- Page 181 and 182: Kupinga ya Kiprotestanti kufanyika
- Page 183 and 184: “Tazama, Bwana Arusi Anakuja” K
- Page 185 and 186: Kupinga ya Kiprotestanti Wayuda was
- Page 187 and 188: Kupinga ya Kiprotestanti Kwa kujita
- Page 189 and 190: Kupinga ya Kiprotestanti linainua k
- Page 191: Kupinga ya Kiprotestanti “Mnyama
- Page 195 and 196: Kupinga ya Kiprotestanti Tangu siku
- Page 197 and 198: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 27. M
- Page 199 and 200: Kupinga ya Kiprotestanti Sheria ya
- Page 201 and 202: Kupinga ya Kiprotestanti Hapawezi k
- Page 203 and 204: Kupinga ya Kiprotestanti zote, namn
- Page 205 and 206: Kupinga ya Kiprotestanti Katika “
- Page 207 and 208: Kupinga ya Kiprotestanti aliyebaki
- Page 209 and 210: Kupinga ya Kiprotestanti Kwa wakati
- Page 211 and 212: Kupinga ya Kiprotestanti mkubwa,
- Page 213 and 214: Kupinga ya Kiprotestanti za Mungu k
- Page 215 and 216: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 30. U
- Page 217 and 218: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 31. P
- Page 219 and 220: Kupinga ya Kiprotestanti Kapernaumu
- Page 221 and 222: Kupinga ya Kiprotestanti Kwa kusima
- Page 223 and 224: Kupinga ya Kiprotestanti ya viumbe
- Page 225 and 226: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 33. K
- Page 227 and 228: Kupinga ya Kiprotestanti yameenea p
- Page 229 and 230: Kupinga ya Kiprotestanti Je, wale a
- Page 231 and 232: Kupinga ya Kiprotestanti 4:1618. Ka
- Page 233 and 234: Kupinga ya Kiprotestanti juu ya dun
- Page 235 and 236: Kupinga ya Kiprotestanti anawashiki
- Page 237 and 238: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 35. U
- Page 239 and 240: Kupinga ya Kiprotestanti Wanaweka m
- Page 241 and 242: Kupinga ya Kiprotestanti la Wakrist
Kupinga ya Kiprotestanti

Wakatoliki wa Roma wanatambua kwamba badiliko la Sabato lilifanywa na kanisa lao, na

kutangaza kwamba Waprotestanti, kwa kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma),

wanatambua mamlaka ya Roma. Maneno yamesemwa: “Wakati wa sheria ya kale, jumamosi

(siku ya saba) ilikuwa siku iliyotakaswa; lakini kanisa, lilipoagizwa na Yesu Kristo, na

kuongozwa na Roho ya Mungu, likabadilisha Jumapili (siku ya kwanza ya juma: Dimanche)

kwa Jumamosi (siku ya saba ya juma:Samedi), kwa hiyo tunatakasa siku ya kwanza, si siku

ya saba, Jumapili maana yake, na sasa ni, siku ya Bwana.”

Kama alama ya mamlaka ya Kanisa la Wakatoliki, waandishi wa Kanisa la Roma

wananena “Tendo kabisa la kugeuza Sabato kwa Jumapili (siku ya kwanza ya juma), ambalo

Waprotestanti wanakubali; ... kwa sababu ya kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma),

wanakubali mamlaka ya kanisa kwa kuamuru siku kuu, na kuzitawala chini ya zambi.”

Ni nini tena badiliko la Sabato, lakini ni alama, ao chapa, cha mamlaka ya Kanisa la Roma-

-“chapa ya mnyama”? Kanisa la Roma halikuacha madai yake kwa mamlaka. Wakati

ulimwengu na makanisa ya Waprotestanti wanapokubali sabato iliotungwa na Roma, wakati

wanapokataa Sabato ya Biblia, wanakubali kwa kweli majivuno haya. Kwa kufanya vile

wanazarau kanuni zinazowatenga kwa Roma--kwamba “Biblia, na ni Biblia tu, ni dini ya

Waprotestanti.” Kwa namna mwendo kwa ajili yakulazimisha Jumapili (siku ya kwanza ya

juma) unapata upendeleo, mwishoni italeta Waprotestanti wote chini ya bendera ya Roma.

Wakristo wa Kanisa la Roma wanatangaza kwamba “kushika Jumapili (siku ya kwanza

ya juma) kwa Waprotestanti ni heshima kuu wanatoa, kwa kujichukia wenyewe, kwa

mamlaka ya Kanisa .”7 Kwa kulazimisha kazi ya dini kwa mamlaka ya serkali ni kufanya

sanamu kwa mnyama; kwa hiyo kulazimisha kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma)

katika Amerika kungekuwa kulazimusha kuabudu ya mnyama na sanamu yake.

Wakristo wa vizazi vilivyopita walishika Jumapili (siku ya kwanza ya juma) wakizani

kwamba walikuwa wakishika Sabato ya Biblia, sasa kunakuwa Wakristo wa kweli katika kila

kanisa ambao kwa uaminifu wanaamini kwamba Jumapili (siku ya kwanza ya juma) ni agizo

la kimungu. Mungu anakubali uaminifu wao na uhaki yao. Lakini wakati kushika Jumapili

(siku ya kwanza ya juma) itakapolazimishwa kwa sheria na ulimwengu utaangaziwa juu ya

Sabato ya kweli, ndipo ye yote atakayevunja amri ya Mungu kwa kutii amri ya Roma kwa

hiyo atakuwa anaheshimu mafundisho ya kipapa kuliko ya Mungu. Anakuwa akitoa heshima

kwa Roma. Anakuwa akiabudu mnyama na sanamu yake. Ndipo watu watapokea chapa cha

utii kwa Roma--“chapa ya mnyama.” Yale hayatafanyika hata mambo yanapowekwa wazi

mbele ya watu na watakapoletwa kwa kuchagua kati ya amri za Mungu na amri za watu, ndipo

wale wanaoendelea katika kuvunja amri watapokea “chapa ya mnyama.”

Onyo la Malaika wa Tatu

Hofu ya kutisha zaidi iliyoambiwa daima kwa wanadamu inakuwa katika ujumbe wa

malaika wa tatu. Watu hawapaswi kuachwa gizani juu ya jambo hili la maana; onyo linapaswa

184