12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

mkubwa. Naye atatuma malaika zake na sauti kubwa ya baragumu, nao watakusanya

wachaguliwa wake toka pepo ine, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho ule”. Matayo

24:30,31.

Watu wajihazari ili wasizarau maneno ya Kristo. Kama alivyoonya wanafunzi wake juu

ya uharibifu wa Yerusalema ili wapate kukimbia, vile vile ameonya watu juu ya siku ya

uharibifu wa mwisho. Wote watakao wapate kukimbia hasira ijao. “Na kutakuwa alama katika

jua na mwezi, na nyota; na katika dunia taabu ya mataifa”. Luka 21:25. Tazama vile vile

Matayo 24:29; Marko 13:24-26; Ufunuo 6:12-17. “Basi angalieni”, ndiyo maneno ya Kristo

ya onyo la upole. Marko 13:35. Wale wanaokubali onyo hili hawataachwa gizani.

Ulimwengu hauko tayari zaidi kusadiki (amini) ujumbe kwa wakati huu kuliko

walivyokuwa Wayahudi kwa kupokea onyo la Mwokozi juu ya Yerusalema. Njoo ingalipo

wakati, siku ya Mungu itakuja gafula kwa waovu. Wakati maisha inapoendelea katika

mviringo wake wa siku zote; wakati watu wanaposhugulika katika anasa, katika kazi, katika

kukusanya pesa; wakati waongozi wa dini wanapotukuza maendeleo ya dunia, na watu

wanapotulizwa katika salama ya uwongo-ndipo, kama mwizi wa usiku wa manane huiba kwa

gafula, ndivyo uharibifu utakuja kwa gafula juu ya wazarau na waovu, “wala hawatakimbia”.

Tazama 1 Watesalonika 5:2-5.

11

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!