Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti mfano wa chui inasemwa: “Naye akapewa kinywa cha kusema maneno makubwa, na makufuru... Akafungua kinywa chake atukane Mungu , na kutukana jina lake, na hema yake, nao wanaokaa mbinguni. Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na kuwashinda; akapewa mamlaka juu ya kabila na lugha na taifa.” Ufunuo 13:5-7. Unabii huu, karibu kuwa sawasawa pamoja na maelezo ya pembe ndogo ya Danieli 7, unaonyesha bila shaka Kanisa la Kiroma. “Akapewa mamlaka kufanya kazi yake miezi makumi ine na miwili”--miaka mitatu na nusu, ao siku 1260, ya Danieli 7--mda ambao nguvu (uwezo) za Papa zilipaswa kugandamiza watu wa Mungu. Mda huu kama ilivyotajwa katika sura zilizotangulia, ulianza na mamlaka ya kanisa la Roma (Papa), A.D. 538, na kumalizika katika mwaka 1798. Kwa wakati ule mamlaka ya Papa ikapata “kidonda cha kufa,” na unabii ukatimia, “yeye anayepeleka katika kifungo atachukuliwa katika kifungo.” Kuinuka kwa Mamlaka Mpya Kwa jambo hili mfano mwingine umetangazwa: “Kisha nikaona mnyama mwingine akipanda juu toka dunia, naye alikuwa na pembe mbili, mfano wa Mwana-Kondoo.” Ufunuo 13:11. Taifa hili ni mbalimbali na yale yaliyoonyeshwa chini ya mifano iliyotangulia. Falme kubwa zilizotawala dunia zilionyeshwa kwa nabii Danieli kama wanyama wa mawindo, waliopanda wakati “pepo ine za mbingu zilivuma kwa nguvu juu ya bahari kubwa.” Danieli 7:2. Katika ufunuo 17:15 malaika anaeleza kwamba maji yanafanyishwa na “Watu” na makutano ya mataifa na lugha”. Upepo ni mfano wa mashindano (vita). Pepo ne zinazo shindana juu ya bahari kubwa inaonyesha matendo ya hatari ya ushindi na wapinduzi ambayo falme zilifika kwa enzi. Lakini nyama aliyekuwa na pembe mfano wa Mwana-kondoo alionekana “akipanda toka dunia.” Badala ya kuangusha mamlaka zingine na kujiimarisha mwenyewe, taifa lililokuwa mfano wake lilipaswa kupanda katika inchi isiokaliwa kwanza na likasitawi kwa amani. Linapaswa kutafutwa katika Bara kuu la Magaribi. Ni taifa gani la Dunia Mpya lilikuwa katika mwaka 1798 likipanda kwa nguvu, kutoa ahadi ya nguvu, na kuvuta uangalifu wa dunia? Taifa moja, na ni moja tu, linalokutana na unabii huu--mataifa ya muungano ya Amerika (United States of America). Karibu sana maneno kabisa kabisa ya mwandishi mtakatifu yalitumiwa bila kufahamu kwa mwandishi wa historia katika kueleza kupanda kwa taifa. Mwandishi mashauri anasema juu ya “siri ya kutokea kwake kwa pahali patupu,” na anasema, “Kama mbegu ya kimya tunasitawi katika mamlaka.” Gazeti la Ulaya katika mwaka 1850 linaeleza juu ya Amerika “kutokea” na “katika utulivu wa inchi siku kwa siku kuongeza kwa uwezo wake na kiburi.” “Naye alikuwa na pembe mbili, mfano wa Mwana-Kondoo.” Pembe mfano wa mwanakondoo inaonyesha ujana, hali ya kuwa bila kosa, upole. Miongoni mwa Wakristo wa kwanza waliokimbilia Amerika kwa ajili ya magandamizo ya kifalme na kutovumilia kwa mapadri kulikuwa wengi waliokusudia kuanzisha uhuru wa kiulimwengu na wa dini. Tangazo la uhuru 180

Kupinga ya Kiprotestanti linainua kweli kwamba “watu wote wameumbwa sawasawa” na wanatolewa na haki ya daima kwa “maisha, uhuru, na kutafuta furaha.” Sheria inatoa haki kwa watu ya kujitawala, kuhakikisha kwamba wajumbe waliochaguliwa kwa uchaguzi wa kupendwa na watu wote watafanya na kuamuru sheria. Uhuru wa imani ya dini ulitolewa pia. Utawala wa uchaguzi (Republicanism) ya Dini la Kiprotestanti yakawa kanuni za msingi za taifa, siri ya uwezo wake na usitawi. Mamilioni wakatafuta pwani zake, na Amerika ikapanda kwa pahali miongoni mwa mataifa yenye uwezo mwingi zaidi duniani. Lakini nyama aliyekuwa na pembe mbili, mfano wa mwanakondoo “akasema kama joka. Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake, na kufanya dunia nao wanaokaa ndani yake waabudu mnyama wa kwanza, ambaye kidonda chake cha mauti kilipona; ... akiwaambia wale wanaokaa juu ya dunia, kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na kidonda cha upanga, naye aliishi.” Ufunuo 13:11-14. Pembe mfano wa mwana-kondoo na sauti ya joka inaonyesha kwa mabishano. Utabiri kwamba itasema “kama joka” na kutumia “maneno kwa uwezo wote wa nyama yule wa kwanza” unatabiri roho ya kutokuwa na uvumilivu na ya kutesa. Na maneno kwamba mnyama aliyekuwa na pembe mbili “naye dunia alifanya” na wale wanaokaa ndani yake waabudu mnyama wa kwanza” inaonyesha kwamba mamlaka ya taifa hili ni kutumia nguvu kwa kushika maagizo fulani ambayo itakuwa tendo la heshima kwa utawala wa kipapa. Tendo la namna hiyo lingekuwa kinyume kwa asili ya sheria zake za uhuru, kwa taratibu ya maneno ya kukiri Tangazo la Uhuru, na kwa sheria. Sheria inaweka tayari kwamba “Baraza kuu haitaweka sheria kupendelea makao ya dini, wala kukataza uhuru wa matumizi hiyo,” na kwamba “hakuna jaribio la dini litakalodaiwa kamwe kama sifa kwa kazi yo yote ya tumaini la watu wote chini ya mataifa ya muungano (United States). Kuvunja wazi kwa kinga hizi (mambo yanayofanya salama) za uhuru kunaonyeshwa katika mfano huu. Mnyama aliyekuwa na pembe mbili mfano wa mwana-kondooanayejitangaza kuwa safi, mtulivu-asiyeumizaanasema kama joka. “Akiwaambia wale wanaokaa juu ya dunia, kumfanyia sanamu yule nyama.” Hapa panaonyeshwa namna ya serkali ambapo mamlaka ya kufanya sheria inadumu kwa watu, ushuhuda wa kushangaza zaidi kwamba Amerika ni taifa lenye maana fulani. Lakini “sanamu kwa mnyama” ni nini? Namna gani inafanywa? Wakati kanisa la zamani lilipochafuka, likatafuta msaada wa uwezo wa kidunia. Matokeo: Kanisa la Roma (Papa), kanisa lililotawala serkali, hasa zaidi sana kwa ajili ya azabu ya uzushi.” Ili Amerika ipate kufanya ‘’sanamu ya mnyama,” mamlaka ya dini inapaswa kutongoza serkali kwamba serkali itatumiwa vilevile kwa kanisa kutimiza vifiko vyake mwenyewe. 181

Kupinga ya Kiprotestanti

linainua kweli kwamba “watu wote wameumbwa sawasawa” na wanatolewa na haki ya daima

kwa “maisha, uhuru, na kutafuta furaha.”

Sheria inatoa haki kwa watu ya kujitawala, kuhakikisha kwamba wajumbe

waliochaguliwa kwa uchaguzi wa kupendwa na watu wote watafanya na kuamuru sheria.

Uhuru wa imani ya dini ulitolewa pia. Utawala wa uchaguzi (Republicanism) ya Dini la

Kiprotestanti yakawa kanuni za msingi za taifa, siri ya uwezo wake na usitawi. Mamilioni

wakatafuta pwani zake, na Amerika ikapanda kwa pahali miongoni mwa mataifa yenye uwezo

mwingi zaidi duniani.

Lakini nyama aliyekuwa na pembe mbili, mfano wa mwanakondoo “akasema kama joka.

Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake, na kufanya dunia nao

wanaokaa ndani yake waabudu mnyama wa kwanza, ambaye kidonda chake cha mauti

kilipona; ... akiwaambia wale wanaokaa juu ya dunia, kumfanyia sanamu yule mnyama,

aliyekuwa na kidonda cha upanga, naye aliishi.” Ufunuo 13:11-14.

Pembe mfano wa mwana-kondoo na sauti ya joka inaonyesha kwa mabishano. Utabiri

kwamba itasema “kama joka” na kutumia “maneno kwa uwezo wote wa nyama yule wa

kwanza” unatabiri roho ya kutokuwa na uvumilivu na ya kutesa. Na maneno kwamba

mnyama aliyekuwa na pembe mbili “naye dunia alifanya” na wale wanaokaa ndani yake

waabudu mnyama wa kwanza” inaonyesha kwamba mamlaka ya taifa hili ni kutumia nguvu

kwa kushika maagizo fulani ambayo itakuwa tendo la heshima kwa utawala wa kipapa.

Tendo la namna hiyo lingekuwa kinyume kwa asili ya sheria zake za uhuru, kwa taratibu

ya maneno ya kukiri Tangazo la Uhuru, na kwa sheria. Sheria inaweka tayari kwamba “Baraza

kuu haitaweka sheria kupendelea makao ya dini, wala kukataza uhuru wa matumizi hiyo,” na

kwamba “hakuna jaribio la dini litakalodaiwa kamwe kama sifa kwa kazi yo yote ya tumaini

la watu wote chini ya mataifa ya muungano (United States). Kuvunja wazi kwa kinga hizi

(mambo yanayofanya salama) za uhuru kunaonyeshwa katika mfano huu. Mnyama aliyekuwa

na pembe mbili mfano wa mwana-kondooanayejitangaza kuwa safi, mtulivu-asiyeumizaanasema

kama joka.

“Akiwaambia wale wanaokaa juu ya dunia, kumfanyia sanamu yule nyama.” Hapa

panaonyeshwa namna ya serkali ambapo mamlaka ya kufanya sheria inadumu kwa watu,

ushuhuda wa kushangaza zaidi kwamba Amerika ni taifa lenye maana fulani.

Lakini “sanamu kwa mnyama” ni nini? Namna gani inafanywa?

Wakati kanisa la zamani lilipochafuka, likatafuta msaada wa uwezo wa kidunia. Matokeo:

Kanisa la Roma (Papa), kanisa lililotawala serkali, hasa zaidi sana kwa ajili ya azabu ya

uzushi.” Ili Amerika ipate kufanya ‘’sanamu ya mnyama,” mamlaka ya dini inapaswa

kutongoza serkali kwamba serkali itatumiwa vilevile kwa kanisa kutimiza vifiko vyake

mwenyewe.

181

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!