12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

mfano wa chui inasemwa: “Naye akapewa kinywa cha kusema maneno makubwa, na

makufuru... Akafungua kinywa chake atukane Mungu , na kutukana jina lake, na hema yake,

nao wanaokaa mbinguni. Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na kuwashinda; akapewa

mamlaka juu ya kabila na lugha na taifa.” Ufunuo 13:5-7. Unabii huu, karibu kuwa sawasawa

pamoja na maelezo ya pembe ndogo ya Danieli 7, unaonyesha bila shaka Kanisa la Kiroma.

“Akapewa mamlaka kufanya kazi yake miezi makumi ine na miwili”--miaka mitatu na

nusu, ao siku 1260, ya Danieli 7--mda ambao nguvu (uwezo) za Papa zilipaswa kugandamiza

watu wa Mungu. Mda huu kama ilivyotajwa katika sura zilizotangulia, ulianza na mamlaka

ya kanisa la Roma (Papa), A.D. 538, na kumalizika katika mwaka 1798. Kwa wakati ule

mamlaka ya Papa ikapata “kidonda cha kufa,” na unabii ukatimia, “yeye anayepeleka katika

kifungo atachukuliwa katika kifungo.”

Kuinuka kwa Mamlaka Mpya

Kwa jambo hili mfano mwingine umetangazwa: “Kisha nikaona mnyama mwingine

akipanda juu toka dunia, naye alikuwa na pembe mbili, mfano wa Mwana-Kondoo.” Ufunuo

13:11. Taifa hili ni mbalimbali na yale yaliyoonyeshwa chini ya mifano iliyotangulia. Falme

kubwa zilizotawala dunia zilionyeshwa kwa nabii Danieli kama wanyama wa mawindo,

waliopanda wakati “pepo ine za mbingu zilivuma kwa nguvu juu ya bahari kubwa.” Danieli

7:2. Katika ufunuo 17:15 malaika anaeleza kwamba maji yanafanyishwa na “Watu” na

makutano ya mataifa na lugha”. Upepo ni mfano wa mashindano (vita). Pepo ne zinazo

shindana juu ya bahari kubwa inaonyesha matendo ya hatari ya ushindi na wapinduzi ambayo

falme zilifika kwa enzi.

Lakini nyama aliyekuwa na pembe mfano wa Mwana-kondoo alionekana “akipanda toka

dunia.” Badala ya kuangusha mamlaka zingine na kujiimarisha mwenyewe, taifa lililokuwa

mfano wake lilipaswa kupanda katika inchi isiokaliwa kwanza na likasitawi kwa amani.

Linapaswa kutafutwa katika Bara kuu la Magaribi.

Ni taifa gani la Dunia Mpya lilikuwa katika mwaka 1798 likipanda kwa nguvu, kutoa

ahadi ya nguvu, na kuvuta uangalifu wa dunia? Taifa moja, na ni moja tu, linalokutana na

unabii huu--mataifa ya muungano ya Amerika (United States of America). Karibu sana

maneno kabisa kabisa ya mwandishi mtakatifu yalitumiwa bila kufahamu kwa mwandishi wa

historia katika kueleza kupanda kwa taifa. Mwandishi mashauri anasema juu ya “siri ya

kutokea kwake kwa pahali patupu,” na anasema, “Kama mbegu ya kimya tunasitawi katika

mamlaka.” Gazeti la Ulaya katika mwaka 1850 linaeleza juu ya Amerika “kutokea” na “katika

utulivu wa inchi siku kwa siku kuongeza kwa uwezo wake na kiburi.”

“Naye alikuwa na pembe mbili, mfano wa Mwana-Kondoo.” Pembe mfano wa mwanakondoo

inaonyesha ujana, hali ya kuwa bila kosa, upole. Miongoni mwa Wakristo wa kwanza

waliokimbilia Amerika kwa ajili ya magandamizo ya kifalme na kutovumilia kwa mapadri

kulikuwa wengi waliokusudia kuanzisha uhuru wa kiulimwengu na wa dini. Tangazo la uhuru

180

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!