12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sanduku ndani ya hema duniani lilikuwa na vipande mbili vya mawe, ambapo sheria za

Mungu ziliandikwa. Wakati hekalu la Mungu lilifunguliwa mbinguni, sanduku ya agano lake

ilionekana. Ndani ya Pahali patakatifu pa patakatifu mno mbinguni, sheria ya Mungu

inatunzwa--sheria iliyosemwa na Mungu na kuandikwa kwa kidole chake juu ya vipande

mbili vya mawe.

Wale waliopata kufahamu maana yake waliona, zaidi kuliko mbele, nguvu za maneno ya

Mwokozi: “Hata mbingu na inchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja haitaondoka.”

Matayo 5:18. Sheria ya Mungu, ambayo ni ufunuo wa mapenzi yake, andiko la tabia yake,

inapaswa kudumu milele.

Katika orodha ya Amri kumi kunakuwa amri ya Sabato. Roho ya Mungu ikaonyesha wale

wanafunzi wa Neno lake lile kwamba walivunja kwa ujinga amri hii kwa kutojali siku ya

pumziko ya Muumba. Wakaanza kuchunguza sababu ya kushika siku ya kwanza ya juma.

Hawakuweza kupata ushahidi wo wote kwamba amri ya ine iliondolewa mbali wala kwamba

Sabato iligeuzwa. Wakatafuta kwa uaminifu kujua na kutenda mapenzi ya Mungu; sasa

wakaonyesha uaminifu wao kwa Mungu kwa kushika Sabato yake takatifu.

Nguvu mingi ilifanywa kwa kuangusha imani ya waamini wa Adventiste. Hakuna mtu

aliweza kushindwa kuona kwamba ukubali ule wa kweli juu ya Pahali patakatifu pa mbinguni

unahusika na haki za sheria ya Mungu na Sabato ya amri ya ine. Hapa kulikuwa na siri ya

upinzani uliokusudiwa juu ya maelezo wazi ya umoja wa Maandiko yanayofunua huduma ya

Kristo ndani ya Pahali patakatifu pa mbinguni. Watu wakatafuta kufunga mlango ambao

Mungu alifungua, na kufungua mlango ambao aliufunga. Lakini Kristo alifungua mlango wa

huduma ya Pahali patakatifu pa patakatifu. Amri ya ine ilikuwa ndani katika sheria

iliyotunzwa pale.

Wale waliokubali nuru juu ya upatanisho wa Kristo na sheria ya Mungu wakaona kwamba

haya yalikuwa kweli ya Ufunuo 14, ambayo ni onyo la mara tatu kwa kutayarisha wakaaji wa

dunia kwa ajili ya kuja kwa Bwana mara ya pili. (Tazama mwisho wa kitabu, Nyongezo).

Tangazo “Saa ya hukumu yake imekuja “linatangaza kweli ambayo inapaswa kutangazwa

hata upatanisho wa Mwokozi utakapoisha na atarudi kuchukua watu wake kwake mwenyewe.

Hukumu ambayo ilianza katika mwaka 1844 inapaswa kuendelea hata kesi za wote

zinapokwisha kukatwa, wote wahai na waliokufa; kwa sababu hiyo itaenea hata kwa

kufungwa kwa rehema ya wanadamu.

Ili watu waweze kujitayarisha kusimama katika hukumu, ujumbe unawaagiza kuogopa

Mungu, na kumutukuza,” na kumwabudu yeye aliyefanya mbingu, na dunia na bahari na

chemchemi za maji.” Matokeo ya kukubali kwa ujumbe huu wa malaika watatu unatolewa:

“Hapa ni uvumilivu wa watakatifu wanaoshika amri za Mungu, na imani ya Yesu.” Ufunuo

14:7,12.

178

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!