12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wayuda wasioamini walionyesha uvivu na kutoamini kwa waliojidai kuwa Wakristo

ambao kwa kweli hawajui kazi ya Kuhani wetu Mkuu. Katika kazi ya mfano, wakati kuhani

mkuu alipoingia Pahali patakatifu pa patakatifu mno, Israeli yote ililazimishwa kukusanyika

kwa Pahali patakatifu na kunyenyekeza roho zao mbele ya Mungu, ili waweze kupata rehema

ya zambi na bila “kukatiliwa mbali” ya kusanyiko. Ni kwa maana gani tena siku hii ya mfano

wa upatanisho ikiwa kwamba tunafahamu kazi ya kuhani wetu Mkuu na kujua kazi gani

tunazo ombwa.

Ujumbe ulitumwa kutoka mbinguni kwa dunia katika siku za Noa, na wokovu wao

ulitegemea namna gani walitendea ujumbe ule. Mwanzo 6:6-9, Waebrania 11:7. Katika

wakati wa Sodomo, wote ila Loti pamoja na mke wake na mabinti wawili, wakateketezwa na

moto uliotumwa chini kutoka mbinguni. Mwanzo 19. Vivyo hivyo katika siku za Kristo.

Mwana wa Mungu akatangaza kwa Wayuda wasioamini: “Nyumba yenu imeachwa kwenu

tupu.” Matayo 23:38. Kutazama chini kwa siku za mwisho, nguvu isiyokuwa na mwisho ya

namna moja inatangaza, kwa ajili ya wale ambao “hawakupokea upendo wa kweli, wapate

kuokolewa”. “Na kwa ajili ya hiyo Mungu anawaletea nguvu ya upotevu, hata waamini

uwongo.” 2 Watesalonika 2:10,11. Kwa sababu wanakataa mafundisho ya neno lake, Mungu

anaondoa Roho yake na kuwaacha kwa udanganyifu wanaoupenda. Lakini Kristo akingali

anaomba kwa ajili ya mwanadamu, na nuru itatolewa kwa wale wanaoitafuta.

Kupita kwa wakati katika mwaka 1844 ulifuatwa na jaribio kubwa kwa wale walioshika

imani ya kuja kwa Yesu. Msaada wao ulikuwa nuru ambayo iliongoza mioyo yao kwa Pahali

patakatifu pa mbinguni. Kwa namna walivyongojea na kuomba wakaona kwamba kuhani wao

Mkuu alikuwa akiingia kwa kazi ingine ya huduma. Kumufuata kwa imani, wakaongozwa

kuona vilevile kufungwa kwa kazi ya kanisa. Wakawa na maelezo kamili zaidi ya ujumbe wa

malaika wa kwanza na wa pili, na wakatayarishwa kupokea na kutoa kwa dunia onyo kubwa

la malaika wa tatu wa Ufunuo 14.

Sura 25. Sheria ya Mungu Isiyogeuka

“Hekalu la Mungu likafunguliwa mbinguni na sanduku ya agano lake likaonekana.”

Ufunuo 11:19. Sanduku ya agano la Mungu linakuwa ndani ya Pahali patakatifu pa patakatifu,

chumba cha pili cha Pahali patakatifu. Katika kazi ya hema ya duniani, ambayo ilitumiwa

“katika mfano na kivuli cha vitu vya mbinguni,” chumba hiki kilikuwa kikifunguliwa tu kwa

Siku kubwa ya Upatanisho kwa ajili ya usafisho wa Pahali patakatifu. Kwa hivyo tangazo

kwamba hekalu la Mungu lilifunguliwa mbinguni na sanduku ya agano lake lilionekana

linaonyesha kwa kufunguliwa kwa Pahali patakatifu pa patakatifu mno pa mbinguni katika

mwaka 1844 ambapo Kristo aliingia kufanya kazi ya kumaliza upatanisho. Wale ambao katika

imani walimufuata Kuhani wao Mkuu alipoingia kwa huduma yake katika Pahali patakatifu

pa patakatifu mno, walitazama sanduku ya agano lake. Kwa namna walivyojifunza fundisho

la Pahali patakatifu walipata kufahamu badiliko la kazi ya Mwokozi, na wakaona kwamba

alikuwa sasa anahudumia mbele ya sanduku la Mungu.

177

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!