Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kupinga ya Kiprotestanti

Katika mfano wa Matayo 22 hukumu inafanyika mbele ya arusi. Mbele ya arusi mfalme

anaingia kuona kama wageni wote wamevikwa mavazi ya arusi, vazi safi (lisilokuwa na

mawaa) la tabia iliyosafishwa katika damu ya Mwana-Kondoo. Ufunuo 7:14, Wote ambao

kwa uchunguzi wameonekana kuwa wamevaa vazi la arusi wamekubaliwa na kuhesabiwa

haki ya kupata sehemu katika ufalme wa Mungu na kukaa kwa kiti chake cha enzi. Kazi hii

ya uchunguzi wa tabia ni hukumu ya uchunguzi, kazi ya mwisho ndani ya Pahali patakatifu

kule mbinguni.

Wakati mambo ya wale katika vizazi vyote waliokubali Kristo yanapokwisha

kuchunguzwa na kukatwa, ndipo rehema itafungwa na mlango wa rehema utafungwa. Kwa

hivyo kwa maneno mafupi ya hukumu, “Nao waliokuwa tayari waliingia pamoja naye kwa

arusi: mlango ukafungwa,” tumechukuliwa chini kwa wakati ambao kazi kubwa kwa ajili ya

wokovu wa mwanadamu itakapokamilika.

Katika Pahali patakatifu pa kidunia, wakati kuhani mkubwa kwa Siku ya Upatanisho

alipoingia kwa Pahali patakatifu pa patakatifu, huduma ndani ya chumba cha kwanza

ulimalizika. Vivyo wakati Kristo alipoingia kwa Pahali patakatifu pa patakatifu kufanya kazi

ya kumaliza upatanisho, alimaliza huduma yake katika chumba cha kwanza. Ndipo huduma

katika chumba cha pili ikaanza. Kristo ametimiza tu sehemu moja ya kazi yake kama

mwombezi wetu, ili kuingia kwa sehemu ingine ya kazi. Alikuwa akiendelea kutetea damu

yake mbele ya Baba kwa ajili ya wenye zambi.

Kwa hivi inakuwa kweli kwamba mlango ule wa tumaini na rehema ambazo watu

walikuwa nazo kwa miaka 1800 walipata ruhusa ya kukaribia kwa Mungu ulifungwa, mlango

mwingine ukafunguliwa. Msamaha wa zambi ukatolewa kwa njia ya uombezi wa Kristo ndani

ya Pahali patakatifu pa patakatifu mno,. Hapo kukingali na “mlango wazi” kwa Pahali

patakatifu pa mbinguni, mahali Kristo alikuwa akifanya kazi kwa ajili ya mwenye zambi.

Sasa ikaonekana matumizi ya yale maneno ya Kristo katika Ufunuo, yanayosemwa

kuelekea wakati huu kabisa: “Maneno haya anasema aliye mtakatifu, aliye wa kweli, aliye na

ufunguo wa Daudi; naye anayefungua wala hapana mtu anayefunga, naye anafunga wala

hapana mtu anayefungua .... Tazama, nimekupa mlango wazi mbele yako na hakuna mtu

anayeweza kuufunga.” Ufunuo 3:7,8.

Wale ambao kwa imani wanamufuata Yesu katika kazi kubwa ya upatanisho wanapokea

faida ya uombezi, huku wale wanaokataa nuru hawatapata faida. Wayuda waliokataa kuamini

Kristo kama Mwokozi hawakuweza kupokea rehema kwake. Wakati Yesu alipopanda

mbinguni aliingia Pahali patakatifu pa mbinguni kutoa mibaraka ya upatanisho wake juu ya

wanafunzi wake, Wayuda waliachwa katika giza kubwa kabisa kwa kuendelea na kafara zao

zabure na sadaka. Mlango ambao watu walipata mbele kwa kupita na kumukaribia Mungu

haukuwa wazi tena. Wayuda walikataa kumutafuta kwa njia moja tungaliweza kupatikana, ni

kwa njia ya Pahali patakatifu pa mbinguni.

176