You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
“Tazama, Bwana Arusi Anakuja”

Kupinga ya Kiprotestanti

Kuja kwa Kristo kama Kuhani Mkuu kwa Pahali patakatifu pa patakatifu kwa usafisho wa

Pahali patakatifu (Danieli 8:14), kuja kwa Mwana wa watu kwa Mzee wa Siku (Danieli 7:13),

na kuja kwa Bwana katika hekalu yake (Malaki 3:11) ni matukio ya namna moja. Jambo hili

pia ni mfano wa kuja kwa bwana arusi kwa ndoa katika mfano wa mabikira kumi wa Matayo

25.

Katika mfano, wakati bwana arusi alipofika, “nao waliokuwa tayari waliingia pamoja naye

kwa arusi.” Kuja huku kwa bwana arusi kulifanyika mbele ya arusi. Arusi ni mfano wa

kupokelewa na Kristo katika ufalme wake. Mji Mtakatifu, Yerusalema Mpya, mji mkubwa

(capitale) ambao ni mfano wa ufalme, unaitwa “bibi arusi, mke wa Mwana-kondoo.”

Akasema malaika kwa Yoane: “Kuja hapa, nami nitakuonyesha yule bibi-arusi, mke wa

Mwana-Kondoo.” “Akanichukua katika roho,“nabii asema, “akanionyesha ule mji mkubwa,

Yerusalema mtakatifu, ukishuka toka mbinguni, kwa Mungu.” Ufunuo 21:9,10.

Bibi-arusi ni mfano wa Mji Mtakatifu, na mabikira waliotoka kukutana na bwana arusi ni

mfano wa kanisa. Katika Ufunuo watu wa Mungu wanaitwa wageni kwa chakula cha arusi.

Kama wageni, hawawezi kuwa bibi-arusi. Kristo atapokea kutoka kwa Mzee wa Siku katika

mbingu “mamlaka, na utukufu, na ufalme.” Yerusalema Mpya, mji mkubwa wa ufalme wake,

“umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mme wake.” Anapokwisha

kupokea ufalme, atakuja kama Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana kwa ajili ya

ukombozi wa watu wake watakaoshiriki kwa chakula cha arusi ya Mwana-Kondoo. Danieli

7:14; Ufunuo 21:2.

Wanaongoja Bwana Wao

Tangazo “Tazama, bwana arusi anakuja” liliongoza maelfu ya watu kutazamia kuja kwa

Bwana mara moja. Kwa wakati ulioagizwa Bwana-arusi akaja, si duniani, bali kwa Mzee wa

Siku katika mbingu, kwa arusi, kupokelewa kwa ufalme wake. “Nao waliokuwa tayari

waliingia pamoja naye kwa arusi.” Hawakupashwa kuwa pale binafsi, kwa sababu wanakuwa

duniani. Wafuasi wa Kristo wanapashwa kungojea Bwana wao atakaporudi kutoka arusini.

Luka 12:36. Lakini wanapashwa kufahamu kazi yake na kumfuata kwa imani. Kwa nia hii

walisemwa kwenda kwa arusi.

Katika mfano, wale waliokuwa na mafuta katika taa zao wakaingia kwa arusi. Wale

ambao, katika usiku wa jaribu la uchungu, waliongoja kwa uvumilivu, wakichunguza Biblia

kwa ajili ya nuru wazi zaidi--hawa waliona ukweli juu ya Pahali patakatifu katika mbingu na

badiliko la huduma ya Mwokozi. Kwa imani wakamfuata katika kazi yake ndani ya Pahali

patakatifu juu. Na wote waliokubali kweli zile zile, kumfuata Kristo kwa imani anavyotenda

kazi ya mwisho ya upatanisho, wanaingia kwa arusi.

Kufunga Kazi ndani ya Pahali patakatifu

175