12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 24. Kristo Anafanya Kazi Gani Sasa?

Fundisho la Pahali patakatifu likafungua siri ya uchungu. Likafungua kwa maoni kanuni

kamili ya ukweli, yenye uhusiano na ya kulingana, kuonyesha mkono wa Mungu ulioongoza

kazi kubwa juu ya kuja kwa Yesu. Wale waliotazamia kwa imani kuja kwake mara ya pili

wakamtazamia kutokea katika utukufu, lakini kwa namna matumaini yao hayakufanyikiwa,

wakapoteza akili juu ya Yesu. Sasa ndani ya patakatifu pa patakatifu wakatazama tena Kuhani

wao mkubwa, kutokea upesi kama mfalme na mkombozi. Nuru kutoka kwa Pahali patakatifu

ikaangazia wakati uliopita, wakati wa sasa, na wakati ujao. Ingawa walishindwa kufahamu

ujumbe waliopata, kwani ulikuwa wa kweli.

Kosa halikuwa katika kutambua kwa nyakati za unabii, lakini katika tukio kufanyika kwa

mwisho wa siku 2300. Kwani yote yaliyotabiriwa na unabii yalitimilika. Kristo alikuja, si

duniani, bali katika Pahali patakatifu pa patakatifu pa hekalu katika mbingu; “Nikaona katika

maono ya usiku, na tazama, pamoja na mawingu ya mbingu alikuwa mmoja aliye mfano wa

mwana wa watu, akakaribia huyu Mzee wa Siku, wakamuleta karibu naye.” Danieli 7:13.

Kuja huku kulitabiriwa pia na Malaika: “Na Bwana munayemutafuta atakuja gafula

hekaluni mwake; na mujumbe wa agano munayemupenda, tazameni, atakuja, Bwana wa

majeshi anasema.” Malaki 3:1. Kuja kwa Bwana katika hekalu yake kulikuwa kwa gafula,

hakukuzaniwa kwa watu wake. Hawakuwa wakimtazamia pale.

Watu hawakuwa bado tayari kukutana na Bwana wao. Pale kulikuwa kungali kazi ya

matayarisho itimizwe kwa ajili yao. Kwa namna walipashwa kufuata kwa imani Kuhani wao

mkubwa katika huduma yake, kazi mpya zingeweza kufunuliwa. Ujumbe mwengine

ulipashwa kutolewa kwa kanisa.

Nani Atakayesimama?

Nabii akasema: “Nani atakayevumilia siku ya kuja kwake? na nani atakayesimama wakati

atakapoonekana? ... Naye atakaa kama mwenye kusafisha na kutakasa feza, naye atatakasa

wana wa Lawi, na atawasafisha kama zahabu na feza, nao watatoa kwa Bwana sadaka kwa

haki.” Malaki 3:2,3. Wale wanaokaa duniani wakati teteo ya Kristo yatakapoisha wanapashwa

kusimama mbele ya Mungu bila muombezi. Mavazi yao yanapashwa kuwa safi bila doa, tabia

zao zenye kutakaswa kutoka zambini kwa damu ya manyunyu. Kwa njia ya neema ya Mungu

na juhudi yao wenyewe ya utendaji wanapashwa kuwa washindaji katika vita na yule muovu.

Wakati hukumu ya ukaguzi inapoendelea mbele kule mbinguni, wakati zambi za waamini

waliotubu zinapoondolewa kutoka kwa Pahali patakatifu, hapo panapashwa kuwa na kazi ya

kipekee ya kuacha zambi miongoni mwa watu wa Mungu duniani. Kazi hii inaonyeshwa

katika ujumbe wa Ufunuo 14. Wakati kazi hii itakapotimizwa, wafuasi wa Kristo watakuwa

tayari kwa kutokea kwake. Ndipo kanisa ambalo Bwana wetu kwa kuja kwake analopashwa

kupokea litakuwa “kanisa la utukufu, pasipo doa wala kikunjo wala kitu cho chote kama hivi.”

Waefeso 5:27.

174

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!