You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

Baada ya kuangamizwa kwa hekalu, mara mji wote ukawa mikononi mwa Waroma.

Waongozi wa Wayahudi wakaacha minara yao isiyoshindika. Alipokwisha kuitazama na

mshangao, akasema kwamba ni Mungu mwenyewe aliyeitoa mikononi mwake; kwani hakuna

mashini za vita, hata zenye nguvu, zingeweza kushinda minara kubwa sana. Mji pamoja na

hekalu vilibomolewa tangu msingi, na mahali ambapo nyumba takatifu ilikuwa imesimama

“palilimwa kama shamba linavyolimwa” Yeremia 26:18. Zaidi ya milioni wakaangamia;

waliookoka wakapelekwa kama mateka, wakauzishwa kama watumwa, wakakokotwa chini

hata Roma, wakatupwa kwa wanyama wa pori ndani ya viwanda vya michezo, ao

kutawanywa mahali pote kama watembezi wasio na makao.

Wayahudi walijaza wao wenyewe kikombe cha kisasi. Kuangamizwa kwa taifa lao na

mabaya yote yaliyofuata kutawanyika kwao, ilikuwa ndiyo kuvuna mavuno ambayo mikono

yao yenyewe ilipanda “O, Israel, umejiharibu wewe mwenyewe “kwa maana umeanguka

sababu ya uovu wako”. Hosea 13:9; 14:1. Mateso yao yanaonyeshwa mara kwa mara kama

azabu iliwafikia ya hukumu ya Mungu. Ni kwa sababu hiyo mdanganyi mkuu hujitahidi

kuficha kazi yake mwenyewe. Kwa kukataa sababu ya hukumu kwa upendo wa Mungu na

rehema, Wayahudi walilazimisha ulinzi wa Mungu kuondolewa kwao.

Hatuwezi kujua namna gani tunapashwa kushukuru Kristo kwa ajili ya amani na ulinzi

tunaofurahia. Ni nguvu ya Mungu inayozuia wanadamu kuanguka kabisa katika mikono ya

Shetani. Waasi na wasio na shukrani wanakuwa na sababu kubwa ya kushukuru Mungu kwa

ajili ya rehema yake. Lakini wakati watu wanapo pitisha mipaka ya uvumilivu wa Mungu,

ulinzi huondolewa. Mungu hasimame kama mwuaji wa mhukumu juu ya kosa. Huacha

wanaokataa rehema zake kuvuna walichopanda. Kila mushale wa nuru uliokataliwa ni mbegu

iliyopandwa inayozaa lazima mavuno yake. Roho ya Mungu, ikipingwa kwa bidii, mwishowe

itaondolewa. Kwa hiyo, hakuna tena nguvu ya kuzuia tamaa mbaya za roho, hakuna ulinzi

kwa uovu na uadui wa Shetani.

Uharibifu wa Yerusalema ni onyo la kutisha kwa wote wanaopinga maombezi ya rehema

za Mungu. Unabii wa Mwokozi juu ya hukumu ya Yerusalema inakuwa na utimilizo

mwengine. Katika hukumu ya mji muchaguliwa tunaona maangamizo ya ulimwengu ambao

ulikataa rehema za Mungu na kukanyaga sheria yake. Habari ya shida ya mwanadamu

ambayo dunia imeshuhudia ni ya giza. Matokeo ya kukataa mamlaka ya Mungu ni ya

kuogopesha. Lakini mambo ya giza zaidi yanaonyeshwa katika ufunuo ya wakati ujao. Wakati

ulinzi wa Roho ya Mungu utaondolewa kabisa, haitawezekana tena kuzuia kuripuka kwa

tamaa ya kibinadamu na hasira ya uovu, ulimwengu utashika, kwa namna isivyofanyika

mbele, matokeo ya mamlaka ya Shetani.

Katika siku ile, kama katika uharibifu wa Yerusalema, watu wa Mungu watakombolewa.

Tazama lsaya 4:3; Matayo 24:30,31. Kristo atakuja mara ya pili kukusanya waaminifu wake

kwake mwenyewe. “Halafu kabila zote; na mataifa yote ya dunia yataomboleza, nao

watamuona Mwana wa watu akija katika mawingu ya mbingu pamoja na uwezo na utukufu

10