12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 23. Siri ya Wazi ya Pahali Patakatifu

Maandiko ambayo ni ya juu ya mengine yalikuwa vyote viwili, msingi na nguzo ya

katikati ya imani ya kuja kwa Yesu ilikuwa tangazo, “Hata mangaribi na asubui ya siku elfu

mbili mia tatu; halafu Pahali patakatifu patatakaswa.” Danieli 8:14. Haya yalikuwa maneno

ya mazoezi kwa waamini wote juu ya kuja upesi kwa Bwana. Lakini Bwana hakutokea.

Waamini walijua kwamba Neno la Mungu halitaweza kushindwa; maelezo yao ya unabii

yalikuwa na kosa. Lakini kosa lilikuwa wapi?

Mungu aliongoza watu wake katika mwendo mkubwa wa kuja kwa Yesu. Hangeuruhusu

mwisho wake uwe wa giza na uchungu, kulaumiwa kama wa uwongo na wa ushupavu. Ijapo

wengi wakaacha kuhesabia nyakati zao za unabii na wakakana msingi ulioimarishwa

mwendo, wengine hawakutaka kukataa mambo ya imani na maisha yaliyokubaliwa na

Maandiko na Roho wa Mungu. Ilikuwa wajibu wao kushikilia kwa nguvu ukweli

waliyokwisha kupata. Kwa maombi ya juhudi wakajifunza Maandiko kwa kuvumbua kosa

lao. Kwa namna hawakuweza kuona kosa kwa hesabu zao za nyakati za unabii,

wakachunguza zaidi sana fundisho la Pahali patakatifu.

Wakajifunza kwamba hakuna ushahidi wa Maandiko unaokubali maoni ya watu wengi

kwamba dunia ni Pahali patakatifu; lakini wakapata maelezo kamili ya Pahali patakatifu; asili

yake, pahali, na matumizi:

“Basi hata agano la kwanza lilikuwa na amri ya kuabudu Mungu, na Pahali patakatifu pake

pa dunia. Maana hema ilitengenezwa ile ya kwanza iliyokuwa na taa, na meza na mikate ya

onyesho kwa Mungu, palipoitwa Pahali patakatifu. Na nyuma ya pazia la pili, ilikuwa hema

iliyoitwa Pahali patakatifu pa patakatifu, yenye kifukizo cha zahabu na sanduku ya agano

iliyofunikwa na zahabu pande zote, na ndani yake kulikuwa kopo la zabahu yenye mana, na

fimbo ya Haruni iliyochipuka, na vibao vya agano; na juu yake makerubi ya zahabu, yakitia

kivuli juu ya kiti cha rehema:” Waebrania 9:1-5.

“Pahali patakatifu” ilikuwa ni hema iliyojengwa na Musa kwa agizo la Mungu kama pahali

pa kukaa pa kidunia pa Mwenyezi Mungu. “Na wanifanyie Pahali patakatifu; nipate kukaa

katikati yao” (Kutoka 25:8), ilikuwa ni agizo lililotolewa kwa Musa. Hema wala maskani

ilikuwa ni umbo kubwa la fahari. Zaidi ya uwanja wa inje, hema yenyewe ilikuwa na vyumba

viwili vilivyoitwa Pahali patakatifu na Pahali patakatifu pa patakatifu, vilivyogawanywa na

pazia nzuri sana, Kifuniko cha namna moja kilifunga mlango kwa chumba cha kwanza.

Pahali Patakatifu na Patakatifu pa Patakatifu

Katika Pahali patakatifu kulikuwa na kinara upande wa kusini pamoja na taa zake saba

kutoa nuru mchana na usiku; upande wa kaskazini kulikuwa na meza ya mikate ya onyesho.

Mbele ya pazia inayotenga Pahali patakatifu na patakatifu pa patakatifu kulikuwa na

167

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!