12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

wazi, akapaza sauti na kulia: “Wameondoa Bwana wangu, wala sijui pahali walipomuweka.”

Yoane 20:13.

Hofu kwamba habari ingeweza kuwa kweli ikatumiwa kama kizuio juu ya ulimwengu

usiosadiki. Lakini walipoona hakuna alama za hasira ya Mungu, wakafunika tena hofu yao na

kuendelea na laumu lao na cheko. Kundi kubwa lililojidai kuamini wakaacha imani yao.

Wenye kuzihaki wakavuta wazaifu na wenye kuogopea vyeo na hawa wote wakajiunga katika

kutangaza kwamba ulimwengu unaweza kudumu kwa namna ileile kwa maelfu ya miaka.

Waaminifu waliojitoakwa kweli walikuwa wameacha vyote kwa ajili ya Kristo, na kama

walivyoamini, wakatoa onyo lao la mwisho kwa ulimwengu. Kwa hamu kubwa sana

walikuwa wameomba , “Kuja Bwana Yesu.” Lakini sasa kwa kuchukua tena mzigo wa matata

ya maisha na kudumu kwa matusi ya ulimwengu wenye kuzihaki lilikuwa jaribu la kutisha

sana.

Wakati Yesu alipopanda juu ya punda na kuingia Jerusalem kama mshindi wanafunzi

wake waliamini kwamba alitaka kuketi juu ya kiti cha ufalme cha Dawidi na kukomboa Israeli

kwa magandamizi. Kwa matumaini ya juu, wengi wakatandika mavazi yao ya inje kama zulia

(tapis) katika njia yake wala kutapanya mbele yake matawi yenye majani mengi ya ngazi.

Wanafunzi walikuwa wakitimiza kusudi la Mungu,lakini wakaangamizwa kwa uchungu

mkali. Lakini siku chache zikapita kabla hawajashuhudia kifo cha maumivu makubwa cha

Mwokozi na kumlaza ndani ya kaburi. Matumaini yao yakafa pamoja na Yesu. Hata wakati

Bwana alipofufuka toka kaburini ndipo wakaweza kufahamu kwamba mambo yote

yalitabiriwa kwa unabii.

Ujumbe Ulitolewa kwa Wakati Uliofaa

Kwa namna ileile Miller na washiriki wake wakatimiza unabii na wakatoa ujumbe ambao

Maongozi ya Mungu yalitabiri ulipashwa kutolewa kwa ulimwengu. Hawangeweza kuutoa

wangefahamu kabisa mambo ya unabii yanayoelekea uchungu wao, na kutoa ujumbe

mwengine kuhubiriwa kwa mataifa yote kabla ya kuja kwa Bwana. Habari za malaika wa

kwanza na wa pili zilitolewa kwa wakati unaofaa na zilitimiza kazi ambayo Mungu

aliyokusudia waitende.

Dunia ilikuwa ikitazamia kwamba kama Kristo hangetokea, Kiadventiste kingeachwa .

Lakini wakati watu wengi walipoacha imani yao kulikuwa wengine waliosimama imara.

Matunda ya kazi ya adventiste, roho ya uchunguzi wa moyo, ya kukana dunia na kutengeneza

maisha, ikashuhudia kwamba ilikuwa kazi ya Mungu. Hawakusubutu kukana kwamba Roho

Mtakatifu alishuhudia kwa mahubiri ya kuja kwa Yesu mara ya pili. Hawakuweza kuvumbua

kosa katika nyakati maalum za unabii. Adui zao hawakufaulu kuangusha maelezo yao ya

unabii. Hawakuweza kukubali kukana msimamo uliofikiwa kwa njia na juhudi, kujifunza

Maandiko kwa maombi, katika akili zilizoangaziwa na Roho wa Mungu na mioyo ya

165

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!