12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Majeshi ya Wayahudi, yalipokuwa yakifuata Cestius na jeshi lake wakaangukia upande

wao wa nyuma. Ni kwa shida sana Waroma walifaulu katika kukimbia kwao. Wayahudi

pamoja na mateka yao wakarudia na ushindi Yerusalema. Lakini kufaulu kwa namna hii

kuliwaletea ubaya tu. Jambo hilo liliwasukuma kwa ile roho ya ukaidi wa kupinga kwa

Waroma ambao kwa upesi wakaleta msiba mubaya sana juu ya muji uliohukumiwa.

Hasara zilikuwa za ajabu zile zilianguka juu ya Yerusalema wakati mji ulizungukwa tena

na Titus. Mji ulizungukwa wakati wa Pasaka, wakati mamilioni ya Wayahudi

walipokusanyika ndani ya kuta zake. Duka za akiba zikaharibiwa kwanza kwa ajili ya kisasi

cha makundi ya mabishano. sasa matisho yote ya njaa yakawafikia. Wanaume wakatafuna

ngozi ya mikaba yao na viatu na kifuniko cha ngao zao. Hesabu kubwa ya watu wakaenda

kwa uficho usiku inje kwa kukusanya mimea fulani ya pori yaliyokuwa yakiota inje ya kuta

za mji, ingawa wengi walikuwa wakizunguukwa na kuuawa na mateso makali, na mara kwa

mara wale waliokuwa wakirudia katika usalama ndani ya mji walinyanganywa akiba

walizopata kwa shida sana. Waume wakaiba wake wao, na wake waume wao. Watoto

wakanyanganya chakula kinywani mwa wazazi wazee wao.

Waongozi wa Roma kuogopesha sana Wayuda iliwakubali wameshindwa. Wafungwa

waliazibiwa, kuteswa, na kusulubiwa mbele ya ukuta wa mji. Kwa bonde la Yosafati na

Kalvari, misalaba ikasimamishwa kwa wingi sana. Ilikuwa vigumu kupitia katikati ya

misalaba hiyo. Ndivyo lilivyo timilika agizo la kutisha lililotajwa na Wayahudi mbele ya kiti

cha hukumu cha Pilato: “Damu yake iwe juu yetu na juu ya watoto wetu”. Matayo 27:25.

Tito alijazwa na hofu kuu alipoona miili ya wafu kulala kwa malundo katika mabonde.

Kama mtu aliye katika maonyo, akatazama hekalu nzuri na akatoa agizo kwamba kusiwe hata

jiwe moja lake linalopaswa kuguswa.. Akatoa mwito wa nguvu kwa waongozi wa Wayahudi

wasimulazimishe kuchafua mahali patakatifu kwa damu. Kama wakiweza kupigania mahali

po pote pengine, hapana Muroma atapashwa kutendea jeuri utakatifu wa hekalu! Yosefu

mwenyewe, aliwasihi, akawaomba kujitoa, kwa kujiokoa wenyewe, mji wao na mahali pao

pa ibada. Lakini maneno yake yakajibiwa kwa laana chungu. Mishale ya makelele ikatupwa

kwake, mwombezi wao wa mwisho wa kibinadamu. Juhudi za Tito ili kuokoa hekalu zilikuwa

bure. Mmoja aliyekuwa mkuu kuliko yeye alitangaza kwamba halitabaki jiwe juu ya jiwe

pasipo kubomolewa.

Mwishowe Tito akaamua kukamata hekalu kwa gafula, akakusudia kwamba ikiwezekana

ilipaswa kuokolewa kwa maangamizi. Lakini maagizo yake hayakujaliwa. Kinga cha moto

kikatupwa upesi na askari mmoja kwa tundu ndani ya ukumbi, na mara moja vyumba

vilivyokuwa na miti ya mierezi kuzunguuka hekalu takatifu vikawaka moto. Tito akaenda

kwa haraka mahali pale, na akaagiza waaskari kuzima ndimi za moto. Maneno yake

hayakufuatwa. Katika hasira yao waaskari wakatupa vinga vya moto ndani ya vyumba vya

karibu na hekalu, na tena pamoja na panga zao wakaua hesabu kubwa ya wale waliokimbilia

ndani ya Pahali patakatifu. Damu ikatiririka kama maji juu ya vipandio vya hekalu.

9

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!