12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

imani yao ilijengwa juu ya imani ya ndugu zao, walitoshelewa na nuru yenye kuwayawaya

ya maono, bila ufahamu kamili wa kweli wala kazi halisi ya neema ndani ya moyo. Hawa

wakaendelea “kukutana” na Bwana katika matazamio ya zawadi ya mara moja lakini

hawakutayarishwa kwa kukawia na uchungu. Imani yao ikaanguka.

“Wakati bwana arusi alipokawia, wao wote wakasinzia na kulala usingizi.” Kwa kukawia

kwa bwana arusi ni mfano wa kupitisha wakati, kukata tamaa, ni kukawia kwenye kuonekana

kwa inje. Wale ambao imani yao iliimarishwa juu ya ujuzi wa kipekee wa Biblia walikuwa

na mwamba chini ya miguu yao ambayo mawimbi ya uchungu hayakuweza kuharibu. “Wao

wote wakasinzia na kulala usingizi,” kundi moja katika kuacha imani yao, lingine likangoja

kwa uvumilivu hata mwangaza wazi zaidi ulipaswa kutolewa. Wale wa kijuujuu hawakuweza

tena kuegemea kwa imani ya ndugu zao. Kila mmoja anapaswa kusimama ao kuanguka yeye

mwenyewe.

Ukaidi wa Dini Unaonekana

Tangu wakati huu, ushupavu wa dini ukaanza kuonekana. Wengine wakaonyesha juhudi

za ukaidi. Mawazo yao ya ukaidi yakakutana na kutokuwa na huruma kwa jamii kubwa ya

Waadventiste, ndipo wakaleta laumu juu ya kazi ya ukweli.

Shetani alikuwa akipoteza watu wake, na kwa kuleta laumu kwa kazi ya Mungu, akatafuta

kudanganya wengine waliokubali imani na kuwaendesha kwa nguvu kwa kupita kipimo.

Ndipo wajumbe wake wakawa tayari wakivisia kupata kosa lo lote, kila kitu kisichokuwa

kitendo cha kukubaliwa, na kulishikilia katika hali ya kupita kipimo ili kufanya Waadventiste

wachukiwe. Kama angeweza kuleta watu wengi wa kutangaza imani ya kuja kwa mara ya

pili, wakati uwezo wake ungeendelea kutawala mioyo yao, angepata faida Kubwa.

Shetani ni “mushitaki wa ndugu zetu.” Ufunuo 12:10. Roho yake inaongoza watu

kutazama makosa ya watu wa Bwana na kuwashikilia akiwatangaza, lakini matendo yao

mema yanapita bila kutajwa. Katika historia yote ya kanisa hakuna matengenezo

yaliyofanywa bila kukutana na vizuizi vikubwa. Po pote ambapo Paulo alisimamisha kanisa

wengine waliojidai kupokeo imani wakaingiza ujushi. Luther pia alivumilia kwa watu

washupavu waliojidai kwamba Mungu alinena kwa njia yao, walioweka mawazo yao

wenyewe juu ya Maandiko. Wengi walidanganywa kwa njia ya waalimu wapya na

wakaungana na Shetani kwa kuondoa kwa nguvu mambo ambayo Mungu aliongoza Luther

kujenga. Wesleys alikutana na werevu wa Shetani katika kusukuma katika ushupavu watu

wasiyokuwa imara na wasiotakaswa.

William Miller hakuwa na huruma kwa ushupavu. “Ibilisi,” akasema Miller, “anakuwa na

nguvu nyingi kwa mioyo ya wengine kwa siku ya leo.” “Mara nyingi, uso wa kungaa na

upendo, shavu, lililolowana, maneno ya kukatwa na machozi, vimenipa ushahidi wa utawa

wa moyo kuliko makelele yote katika ukristo.”

160

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!