12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 22. Unabii Unatimilika

Wakati ulipopita ambapo kuja kwa Bwana kulipotazamiwa kwanza--wakati wa masika ya

mwaka 1844--wale waliotazamia kuonekana kwake walikuwa katika mashaka na kutokuwa

na hakika. Wengi wakaendelea kuchunguza katika Maandiko, kwa kupima tena ushuhuda wa

imani yao. Maneno ya unabii, ya wazi na ya nguvu, yalionyesha kuja kwa Kristo kuwa karibu.

Kugeuka kwa waovu na uamsho wa kiroho miongoni mwa Wakristo kulishuhudia kwamba

ujumbe ulikuwa wa mbinguni.

Walihangaishwa na mambo ya unabii, ambayo walizania kama, kulingana na wakati wa

kuja kwa mara ya pili, ilikuwa fundisho la kuwatia moyo kwa kungoja na uvumilivu katika

imani,ili mambo yaliokuwa giza kwa akili yao sasa ifunuliwe. Miongoni mwa mambo haya

ya unabii ilikuwa Habakuki 2:1-4. Hakuna mtu, hata, aliyefahamu kwamba kukawia kwa

wazi--wakati wa kungojea--unakuwa katika unabii. Baada ya uchungu, andiko hili

likaonekana kuwa la maana sana: “Maono haya ni kwa wakati ulioamuriwa, lakini kwa

mwisho yatasema, wala hayatasema uwongo; hata yakikawia, uyangoje; kwa sababu yatakuja

kweli, hayatachelewa. . . Mwenye haki ataishi kwa imani yake.”

Unabii wa Ezekieli pia ulikuwa faraja kwa waaminifu: “Bwana Mungu anasema hivi...

Siku ni karibu, na kutimia kwa kila maono ... Nitasema, na neno nitakalolisema litatimizwa;

wala halitakawishwa tena.” “Neno nitakalolisema litatimia.” Ezekieli 12:2325,28. Wale

waliokuwa wakingoja wakafurahi. Yeye anayejua mwisho tangu mwanzo aliwapa tumaini.

Kama mafungu kama haya ya Maandiko hayangekuwako, imani yao ingalianguka.

Mfano wa mabikira kumi wa Matayo 25 pia unaonyesha mambo ya maisha ya

Waadventiste. Hapo paonyeshwa hali ya kanisa wakati wa siku za mwisho. Mambo yao ya

maisha yamefananishwa na tendo la ndoa ya mashariki:

“Halafu ufalme wa mbinguni utafananishwa na mabikira kumi waliotwaa taa zao,

wakatoka kwenda kukutana na bwana arusi. Watano wao walikuwa wapumbafu na watano

wenye akili. Wale walio kuwa wapumbafu, walichukua taa zao, bila mafuta; lakini wenye

akili walicukua mafuta ndani ya vyombo vyao pamoja na taa zao. Basi wakati bwana arusi

alipokawia, wao wote wakasinzia na kulala usingizi. Lakini saa sita ya usiku kulikuwa kelele:

Tazama, bwana arusi! tokeni kukutana naye.” Matayo 25:1-6.

Kuja kwa Kristo kama kulivyotangazwa na ujumbe wa malaika wa kwanza, kulifahamika

kuwa mfano wa kuja kwa bwana arusi. Kuenea kwa matengenezo chini ya kutangaza kwa

kuja kwa karibu kwa Kristo kukajibu kwa mfano wa mabikira. Katika mfano huu, wote

walichukua taa zao, Biblia, “na wakaenda kukutana na bwana harusi.” Lakini wakati

wapumbafu “hawakuchukua mafuta pamoja nao,” “wenye akili walichukua mafuta ndani ya

vyombo vyao pamoja na taa zao.” Wa nyuma wakajifunza Maandiko ili kuchunguza ukweli

na wakawa na akili ya kipekee, imani kwa Mungu ambayo haingeangushwa na kukata tamaa

na kukawia. Wengine wakaendeshwa na musukumo, hofu yao ikaamshwa na ujumbe. Lakini

159

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!