12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kupendeza kwa masikio ya siku hizi. Kwa hiyo zambi za siku hizi zinafichwa chini ya hila za

wema, mfano wakuogopa Mungu.

Mwandishi mmoja katika New York Independent akasema hivi juu ya dini ya Methodiste

kama inavyokuwa: “Msitari wa mtengano kati ya wanaomwogopa Mungu na waovu unapotea

katika namna ya kivuli, na watu wa bidii kwa pande zote mbili hujitahidi kutupia mbali tofauti

yote kati ya desturi zao za kutenda na furaha.”

Katika mwendo huu wa kutafuta anasa, kujinyima kwa ajili ya Kristo karibu kulipotea

kabisa. “Kama feza zinahitajiwa sasa, ... hakuna mtu anayepashwa kuitwa kwa kutoa. Aa

hapana! kutayarisha maonyesho ya biashara, michezo ya kuingiza picha, michezo ya bahati

(loterie), chakula cha jioni (banquet), wala kitu cha kula--kila kitu cho chote kwa kupendeza

watu.”

Robert Atkins anaonyesha picha ya upungufu wa kiroho katika Uingereza: ‘’ Uasi, uasi,

uasi, tazama neno lililochorwa mbele ya makanisa yote; na wangejua, na waliiisikia na

kungekuwa na tumaini; lakini, ole! Wakalalamika: “Sisi ni tajiri, tumepata vitu vingi; wala

hatuhitaji kitu chochote.”‘ Zambi kubwa iliyoshitakiwa Babeli ni kwamba “amefanya mataifa

yote kunywa mvinyo ya gazabu ya uasherati wake. “Kikombe hiki ni mfano wa mafundisho

ya uongo yale aliyokubali kama matokeo ya urafiki pamoja na dunia. Kwa nafasi yake

hutumia mvuto wa uovu juu ya dunia kwa kufundisha mafundisho yaliyopinga maneno wazi

ya Biblia.

Kama haingekuwa kwamba dunia inaleweshwa na mvinyo wa Babeli, wengi

wangalisadikishwa na kungeuzwa kweli kamili za Neno la Mungu. Lakini imani ya dini

inaonekana kuwa na machafuko sana na kutopatana hata watu hawaujui kitu gani cha

kuamini. Zambi ya dunia isiyotubiwa inalala mlangoni mwa kanisa.

Ujumbe wa malaika wa pili haukutmilika katika mwaka 1844. Makanisa basi yalianguka

kiroho kwa kukataa nuru ya ujumbe wa kurudi kwa Yesu, lakini hayakuanguka kabisa. Namna

walikuwa wakiendelea kukataa mambo ya ukweli wa pekee kwa ajili ya wakati huu

waliendelea kuanguka chini na kuendelea chini. Bado, lakini, itawezekana kusemwa kwamba

“Babeli imeanguka, ... kwa sababu amefanya mataifa yote kunywa mvinyo wa hasira ya

uasherati wake.” Makanisa ya Kiprotestanti yanakuwa ndani ya masitaka ya malaika wa pili.

Lakini kazi ya uasi haijafikia hatua yake ya mwisho.

Mbele ya kuja kwa Bwana, Shetani atatumika “na uwezo wote, na ishara na maajabu ya

uwongo, na udanganyifu wote wa uzalimu”; na wale ambao “hawakupokea mapendo kwa

kweli, wapate kuokolewa,” wataachwa kupokea “nguvu ya upotevu, hata waamini uwongo.”

2 Watesalonika 2:9-11. Hata muungano wa kanisa pamoja na dunia utakapotimia kabisa ndipo

kuanguka kwa Babeli kutakuwa kamili. Mabadiliko ni ya kidogo kidogo na kutimilika kamili

kwa Ufunuo 14:8 kunakuwa kwa wakati ujao.

157

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!