12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Mwanamke (Babeli) yule “amevikwa nguo ya rangi ya zambarau na nyekundu,

amepambwa kwa zahabu, na mawe ya bei kubwa, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha

zahabu mkononi mwake, kinachojaa machukizo, na machafu... Na katika kipaji cha uso wake

jina limeandikwa, SIRI, BABELI MKUBWA, MAMA YA MAKAHABA.” Anasema nabii:

“Nikaona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu na kwa damu ya washuhuda wa

Yesu.” Babeli “ni mji ule mkubwa unaotawala juu ya wafalme wa dunia.” Ufunuo 17:4-6, 18.

Mamlaka ambayo kwa karne nyingi ilidumisha uwezo juu ya wafalme wa jamii ya

Wakristo wote ni Roma. Rangi ya zambarau, na nyekundu, zahabu, mawe ya bei kubwa, na

lulu, vinaonyesha fahari iliyovaliwa na askofu mwenye kiburi wa Roma. Hakuna mamlaka

ingine iliyoweza kutangazwa kwa kweli “amelewa kwa damu ya watakatifu” kama kanisa lile

ambalo lilitesa kwa ukali wafuasi wa Kristo.

Babeli inasitakiwa vilevile kwa uhusiano usio wa sheria pamoja na “wafalme wa

ulimwengu.” Kwa kuachana na Bwana kupatana na wapagani kanisa la Wayahudi likawa

kahaba, na Roma, katika kutafuta usaada wa mamlaka ya kidunia, inapokea hukumu ya namna

moja.

“Babeli ni mama ya makahaba.” Binti zake wanapashwa kuwa makanisa yanayoshika

mafundisho yake na kufuata mfano wake wa kuacha kweli ili kufanya mapatano pamoja na

dunia. Ujumbe unaotangaza kuanguka kwa Babeli unapaswa kulinganishwa na makundi ya

ushirika wa dini yaliyokuwa safi zamani na imegeuka kuwa potovu. Kwa hivi ujumbe huu

unafuata onyo la hukumu, unapaswa kutolewa katika siku za mwisho. Kwa hiyo haiwezi

kutumiwa kwa kanisa la Roma tu, kwa maana lile lilikuwa katika hali ya maanguko muda wa

karne nyingi.

Tena, watu wa Mungu wanaitwa kutoka katika Bebeli. Kufuatana na maandiko haya, watu

wa Mungu wengi wakingali katika Babeli, Na ni katika makundi gani ya dini ambamo

munakuwa sehemu kubwa ya wafuasi wa Kristo? Katika makanisa inayokiri imani ya

Kiprotestanti. Kwa wakati wa kutokea kwao makanisa haya yalipata msimamo bora kwa ajili

ya kweli, na mibaraka ya Mungu ilikuwa pamoja nao. Lakini wakashindwa kwa tamaa ya

namna moja ileile ambayo ilikuwa uharibifu wa Israeli kuiga desturi na kujipendekeza na

urafiki wa wasiomwogopa Mungu.

Kujiunga Pamoja na Walimwengu

Makanisa mengi ya kiprotestanti yamefuata mfano wa uhusiano pamoja na “wafalme wa

dunia” makanisa ya taifa, kwa uhusiano wao na serkali; na makanisa mengine, kwa kutafuta

mapendeleo ya dunia. Neno “Babeli” machafuko--linaweza kutumiwa kwa makundi haya

yanayojidai kwamba yalipata mafundisho yao kutoka kwa Biblia, lakini yamegawanyika

katika makundi isiyohesabika pamoja na kanuni ya imani za mbalimbali.

Kazi ya kanisa la kikatolika la Roma inabisha kwamba “kama kanisa la Roma lingekuwa

na kosa ya ibada ya sanamu katika uhusiano kwa watakatifu, binti yake, kanisa la Uingereza,

155

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!