12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Giza ya kiroho inafika, si kwa sababu ya kuondolewa kwa neema ya kumungu kwa upande

wa Mungu bila sababu, bali ni kwa upande wa binadamu aliyekataa nuru. Wayahudi, kwa

kupenda dunia na kumsahau Mungu, walikuwa katika ujinga juu ya kuja kwa Masiya. Katika

kutoamini kwao wakamkataa Mkombozi. Mungu hakukatia mbali taifa la Wayahudi kwa

mibaraka ya wokovu. Wale waliokataa kweli waliweka “giza kwa nuru, na nuru kwa giza.”

Isaya 5:20.

Baada ya kukataa kwao kwa habari njema Wayahudi wakaendelea kushika kanuni zao za

zamani, wakati ambapo walikubali kwamba Mungu kakuwa tena kati yao. Unabii wa Danieli

ulionyesha kwa wazi wakati wa kuja kwa Masiya na kutabiri vilevile kifo chake. Kwa hivyo

walitia mashaka majifunzo yake, na mwishowe wa rabbis wakatangaza laana kwa wote

wangejaribu kukadirisha wakati. Katika upofu na ugumu wa moyo Waisraeli wakati wa karne

zilizofuatana wakasimama, bilakujali zawadi za neema ya wokovu, bila akili ya mibaraka ya

habari njema, maonyo nzito na la kutisha kwa ajili ya hatari ya kukataa nuru kutoka mbinguni.

Yeye anayezuia hakikisho lamapashwa yake kwa sababu yanapingana na tamaa zake

mwishowe atapoteza uwezo wa kuchagua kati ya ukweli na kosa. Roho hutengana na Mungu.

Mahali ukweli wa Mungu unakataliwa kwa zarau, kanisa litakuwa katika giza, imani na

upendo vitapunguka, na fitina huingia. Washiriki wa kanisa hutia nguvu zao katika mambo

ya kidunia, na wenye zambi hugeuka kuwa wagumu katika ugumu wa moyo wao.

Ujumbe Wa Malaika wa Kwanza

Ujumbe wa malaika wa kwanza wa Ufunuo 14 ulitolewa kwa kutenga wale wanaojidai

kuwa watu wa Mungu kutoka kwa mivuto mibaya. Katika ujumbe huu, Mungu alituma kwa

kanisa onyo ambalo kama lingelikubaliwa, lingaliweza kusahihisha maovu ambayo yalikuwa

yakiwafunga mbali na yeye. Kama wangalikubali ujumbe, kushusha mioyo yao na kutafuta

matayarisho kwa kusimama mbele yake, Roho wa Mungu angalionekana. Kanisa lingalifikia

tena umoja ule, imani, na upendo wa siku za mitume, wakati waaminifu “walikuwa na moyo

mmoja” na wakati “Bwana aliongezea kwa kanisa kila siku wale waliokuwa wakiokolewa.”

Matendo 4:32; 2:47.

Kama watu wa Mungu wangalipokea nuru kutoka kwa Neno lake, wangalifikia umoja ule

ambao mtume anaeleza, “umoja wa Roho katika kifungo cha salama”. Anasema, “Mwili ni

mmoja, na Roho mmoja, kama vile mulivyoitwa katika tumaini moja la mwito wenu; Bwana

mmoja, imani moja, ubatizo mmoja.” Waefeso 4:3-5.

Wale waliokubali ujumbe wa kurudi kwa Yesu walikuja kutoka makanisa mbalimbali, na

vizuizi vyao vya dini vikatupwa chini kwa nguvu. Kanuni za imani za mabishano zikavunjika

kwa vipande vipande. Maoni ya uwongo juu ya kuja kwa mara ya pili yakasahihiswa. Makosa

ya kanyoshwa, mioyo ikaungana katika upatano wakupendeza. Upendo ukatawala sana.

Mafundisho haya yangefanya vile kwa wote, kama wote wangelikubali.

153

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!