12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 21. Kuteswa kwa Aijili ya Mwenendo wa

Mpumbafu ao Mjinga

William Miller na wasaidizi wake walitafuta kuamsha walimu wa dini kwa tumaini la

kweli la kanisa na mahitaji yao ya maarifa makubwa ya kikristo. Walitumika pia kwa kuamsha

wasiogeuka kwa toba na mabadiliko. “Hawakujaribu kutubisha watu kwa dini fulani.

Walitumika bila uchaguzi w makundi ao dini fulani. ” Akasema Miller, “Nilifikiri kusaidia

wote. Niliwaza kwamba Wakristo wote wangefurahi katika kutazamia kuja kwa Kristo, na

kwamba wale hawakuweza kuona kama mimi hawangekosa kupenda wale waliopashwa

kukubali kwa moyo mafundisho haya, sikuwaza kwamba kungeweza kuwa na lazima ya

mikutano ya kuachana... Hesabu kubwa ya wale waliogeuka chini ya kazi zangu walijiunga

na makanisa mbalimbali iliyokuwako.”

Lakini kwa sababu waongozi wa dini walipinga juu ya mafundisho ya Adventiste,

walikatalia washiriki wao haki ya kuhuzuria kuhubiri juu ya kuja kwa Yesu mara ya pili. Wala

hata kusema kwa ajili ya tumaini lao katika kanisa. Waaminifu walipenda kanisa zao.

Lakini walipoona haki yao kwa kuchunguza mambo ya unabii unakanwa, waliona

kwamba uaminifu kwa Mungu unawakataza kuwatii. Kwa hiyo waliona kwamba walikuwa

na haki kujitenga. Wakati wa kipwa cha mwaka 1844 karibu elfu makumi tano wakatoka kwa

makanisa.

Katika makanisa mengi, kwa miaka nyingi kuongezeka kulikuwako lakini kwa kidogo

kufuatana na matendo ya dunia iloyolingana na upungufu kwa maisha ya kiroho. Lakini kwa

mwaka ule kulikuwa ushuhuda wa upunguo mkubwa ndani ya makanisa yote ya inchi. Jambo

lilielezwa sana kwa magazeti na mimbarani.

Bwana Barnes, mwandishi wa maelezo na mchungaji wa mojawapo wa makanisa

makubwa ya Philadelphia, “akasema kwamba ... Sasa hakuna maamsho, hapana kugeuka,

hakuna kuonekana sana kwa maendeleo katika neema katika walimu, na hakuna anayekuja

kwa mafundisho yake kwa kuzungumza juu ya wokovu wa roho zao...kunakuwa kuongezeka

kwa akili ya kidunia Ni vile inakuwa katika makanisa yote.”

Katika mwezi wa Februari wa mwaka ule ule, Mwalimu Finney wa Oberlin College

akasema: “Kwa kawaida, makanisa ya Kiprotestanti ya inchi yetu, yanavyoonekana, yalikuwa

ao baridi ao adui ya matengenezo yote ya tabia na usafi vya wakati huu ... ubaridi wa kiroho

unatawala karibu kote kwa wingi wa kutisha; kwa hiyomagazeti ya dini ya inchi yote

yanashuhudia ile. ...Kwa wingi sana washiriki wa kanisa wanatawaliwa na mtindo wakisasa

(mode),yanaunga mkono mwovu katika makundi ya anasa, katika michezo, katika furaha. ...

Makanisa kwa kawaida yanakuwa kwa huzuniyenye kurudia kwa ushenzi. Yalikwisha

kwenda mbali ya Bwana na amekwisha kujiondoa mwenyewe kwao.’‘

Binadamu Anakataa Nuru

152

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!