12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Lakini wale waliotamani sababu ya kukataa kweli wakafunga masikio yao kwa maelezo

haya, na maneno “Hakuna mtu anayejua siku ao saa” yakaendelea kukaririwa na watu wa

zarau na hata wanaojidai kuwa wahubiri wa Kristo. Wakati watu walipoanza kuuliza njia ya

wokovu, walimu wa dini wakajitia kati yao na ukweli kwa kufasiri kwa uongo Neno la

Mungu.

Waaminifu zaidi katika makanisa walikuwa kwa kawaida wa kwanza kupokea habari.

Mahali ambapo watu hawakuwa wakiongozwa na wapadri, mahali ambapo wangeweza

kutafuta Neno la Mungu wao wenyewe, mafundisho ya kurudi yalihitaji tu kulinganishwa

pamoja na Maandiko juu ya kuimarisha mamlaka yake ya kimungu.

Wengi waliongozwa vibaya na waume, wake, wazazi, ao watoto na walifanywa kuamini

jambo hili kama zambi hata kwa kusikiliza mambo ya “uzushi”ya namna hiyo kama

iliyofundishwa na Waadventisti. Malaika waliagiza kuwa na ulinzi aminifu juu ya roho hizi,

kwa maana nuru ingine ilipaswa kuangaza juu yao kutoka kwa kiti cha Mungu.

Wale waliokubali habari walingojea kuja kwa Mwokozi wao. Wakati ambao walitazamia

kukutana naye ulikuwa karibu. Wakakaribisha saa hii kwa utulivu wa heshima. Hakuna

aliyekuwa na maarifa hii anayeweza kusahau saa hizo za tamani za kungoja. Kwa maana juma

chache mbele ya wakati ule, kazi ya kidunia kwa sehemu kubwa iliwekwa pembeni.

Waaminifu wa kweli kwa uangalifu wakachunguza mioyo yao kama kwamba katika saa

chache kufunga macho yao kwa maono ya kidunia. Hapo hapakuwa kushona “mavazi ya

kupanda nayo” (Tazama Nyongezo), lakini wote wakasikia haja ya ushuhuda wenyewe

kwamba walikuwa wakijitayarisha kuonana na Mwokozi. Mavazi yao meupe yalikuwa usafi

wa roho--tabia zilizotakaswa na damu ya kafara ya Kristo. Hebu kwamba kungekuwa vivyo

na watu wa Mungu na moyo wa namna moja wa kuchunguza, imani yenye juhudi.

Mungu alitaka kuonyesha watu wake. Mkono wake ulifunika kosa katika kuhesabu

nyakati za unabii. Wakati wa kutazamia ule ukapita, na Kristo hakuonekana. Wale

waliotazamia Mwokozi wao wakajua uchungu mkali. Lakini Mungu alikuwa akichunguza

mioyo ya wale waliojidai kungoja kuonekana kwake. Wengi waliongozwa kwa hofu. Watu

hawa wakatangaza kwamba hawakuamini kamwe kwamba Kristo atakuja. Walikuwa

miongoni mwa wa kwanza kuchekelea huzuni ya waamini wa kweli.

Lakini Yesu na jeshi lote la mbinguni walitazamia kwa upendo na huruma juu ya

waaminifu ijapo walikuwa wenye kukatishwa tamaa. Kama kifuniko kinachotenga dunia na

vile vinavyoonekana kwa visivyoonekana kikiinuliwa, malaika wangaliweza kuonekana

wakisogea karibu na roho hizi za uaminifu na kuzilinda kwa mishale ya Shetani.

151

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!