12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

mioyo ya watoto kwa wazazi wao. Malaki 4:5, 6. Vizuizi vya kiburi na matengano

vikatupiliwa mbali. Maungamo ya kweli yakafanywa. Mahali po pote roho zilikuwa

zikiomboleza mbele ya Mungu. Wengi walitumia usiku wote mzima katika maombi kwa ajili

ya hakika kwamba zambi zao zilisamehewa, ao kugeuka kwa jamaa zao wala jirani.

Makundi yote, watajiri na maskini, watu wa juu wala wa chini, wakawa na hamu ya

kusikia mafundisho ya kuja kwa maraa ya pili. Roho ya Mungu ikatoa uwezo kwa ukweli

wake. Kuwako kwa Malaika watakatifu kulisikiwa katika makutano haya, na wengi walikuwa

wakiongezeka kila siku kwa waaminifu. Makutano makubwa wakasikiliza kwa utulivu kwa

maneno ya heshima. Mbingu na dunia vilionekana kukaribiana. Watu wakarudi nyumbani na

sifa kwa midomo yao, na sauti ya furaha ikavuma kwa utulivu wa usiku. Hakuna aliyehuzuria

mikutano hiyo angaliweza kamwe kusahau maono ya usikizi mwingi.

Habari llipingwa

Tangazo la wakati kamili wa kuja kwa Kristo kukaleta mabishano sana kwa wengi wa

makundi yote, tokea kwa wachungaji katika mimbara hata kwa mkubwa miongoni mwa

wenye zambi. Wengi walitangaza kwamba hawakuwa na kizuizi kwa mafundisho ya kurudi

kwa Yesu; walikataa tu wakati kamili. Lakini jicho la Mungu linaloona vyote likasoma mioyo

yao. Hawakutamani kusikia habari ya kuja kwa Kristo ili aihukumu dunia kwa haki. Matendo

yao hayangevumilia uchunguzi wa moyo unaomtafuta Mungu, na waliogopa kukutana na

Bwana wao. Kama Mayahudi kwa wakati wa kuja kwa Kristo kwa mara ya kwanza

hawakujitayarisha kumpokea Yesu. Hawakukataa tu kusikiliza mabishano ya wazi kutoka

kwa Biblia lakini wakachekelea wale waliokuwa wakitazamia Bwana. Shetani akatupa laumu

kwa uso wa Kristo kwamba wanaojidai kuwa watu wake walikuwa na upendo mdogo sana

kwake hata hawakutaka kuonekana kwake.

“Hakuna mtu anayejua habari za siku ile na saa ile,” ilikuwa ubishi mara kwa mara

ulioendelea kuletwa na waliokataa imani ya kurudi kwa Yesu. Andiko ni: ‘’Habari za siku ile

na saa ile hakuna mtu anayejua, hata malaika walio mbinguni, ... ila Baba peke yake.” Matayo

24:36. Maelezo wazi ya maneno haya yalitolewa na wale waliokuwa wakitazamia Bwana, na

matumizi mabaya yake ya wapinzani wao yalionyeshwa kwa wazi.

Usemi moja la Mwokozi haupashwi kutumiwa kwa kuharibu lingine. Ingawa hakuna mtu

anayejua siku wala saa ya kuja kwake, tunaagizwa kujua wakati unakuwa karibu. Kukataa

wala kutojali kujua wakati wa kuja kwake kunapokuwa karibu kutakuwa kwetu kama hatari

kwetu kama ilivyokuwa katika siku za Noa bila kujua wakati gani garika ilipashwa kuja.

Kristo anasema, “Lakini, usipoangalia, nitakuja kwako kama mwizi, wala hutajua saa

nitakapokuja kwako.” Ufunuo 3:3.

Paulo anasema kwa habari za wale waliojali onyo la Mwokozi: “Lakini ninyi ndugu, si

katika giza, hata siku ile iwapate ninyi kama mwizi: sababu ninyi wote ni wana wa nuru, na

wana wa mchana.” 1 Watesalonika 5:2-5.

150

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!